Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA NMB YATANGAZA HATUA ZA KUWAPUNGUZIA MZIGO WATEJA WAKE KUTOKANA NA JANGA LA COVID 19



Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NMB , Ruth Zaipuna 
·        Hatua kuchukuliwa kulingana na mahitaji ya Wateja wa Biashara Ndogondogo na za Kati

·        Suluhisho pia kutolewa kwa Wateja Wakubwa  


Dar es Salaam, Mei 21, 2020: Benki ya NMB Plc leo imetangaza unafuu wa ulipaji mikopo kwa Wateja wa Biashara ndogo na za kati (SME/MSME) na wakubwa ili kuwasaidia kukabiliana na madhara yaliyotokana na janga la COVID - 19 kwenye biashara zao. Hii ni jitihada ya benki katika kutoa ahueni kwa wateja wake...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza likizo ya malipo ya mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 160 kwa wateja wake ili kuwanusuru na athariza janga la COVID - 19.

Benki ya Exim yatangaza likizo ya malipo ya mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 160 kwa wateja wake ili kuwanusuru na athari za janga la COVID - 19.
Benki ya Exim imetangaza msamaha wa likizo ya malipo ya mikopo kwa wateja wake wakubwa, wa kati na wadogo walipo katika sekta zilizo athirika zaidi kiuchumi kutokana na athari za mlipuko wa ugonjwa wa virus vya Corona (COVID 19). Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na benki hiyo katika kuwasaidia kifedha wateja wake...

 

10 years ago

Michuzi

Sasa NMB kuwafikia wateja wake Mpaka Vijijini kupitia NMB Wakala

Banki ya NMB imeingia makubaliano na kampuni ya Maxcom kupitia mtandao wa mawakala wanaojulikana kama Max Malipo kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibenki. HUduma hii itakuwa inaitwa NMB Wakala na itakuwepo kwenye kila wakala wa MaxMalipo waliotapakaa nchi nzima.
Kuingia kwa MaxCom kwenye benki ya NMB kunamaanisha kuwa NMB itazidi kupanua Zaidi mtandao wao kwa kuingia hadi vijijini tofauti na benki zingine. Kupitia mawakala wa MaxCom, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka fedha kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB yakabidhi vifaa mbalimbali kujikinga na janga la Corona mkoani Mtwara

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alphayo Kidata (kushoto) akipokea vifaa mbali mbali kwa ajili yakujikinga dhidi ya janga la Corona kutoka kwa Kaimu Meneja wa tawi la NMB Mtwara Rosemary Moshi, ikiwa ni sehemu ya misaada inayotolewa na benki hiyo nchi nzima.

 

5 years ago

CCM Blog

BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI VYA KUJIKINGA NA JANGA LA CORONA MKOANI MTWARA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alphayo Kidata (kushoto) akipokea vifaa mbalimbali kwa ajili ya kujikinga dhidi ya janga la Corona kutoka kwa Kaimu Meneja wa tawi la NMB Mtwara Rosemary Moshi, ikiwa ni sehemu ya misaada inayotolewa na benki hiyo nchi nzima.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA WATU WA ZANZIBAR (PBZ) YAFUTARISHA WANA FAMILIA WA BENKI HIYO NA WATEJA WAKE

 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya (PBZ) na wageni walikwa wakiingia kwenye ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort kwa kupata futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wana Famili wa Benki hiyo na wateja wao.

 Mkurugenzi Masoko PBZ Seif Suleiman akiwaongoza wageni walikwa kupata futari iliyoandaliwa na Benki hiyo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

 Walikwa na wafanyakazi wa PBZ wakijipakuli futari.

 Walikwa na wafanyakazi wa PBZ wakijipakuli futari. Mkurugenzi Huduma za Kibenki Said M....

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

NMB YAWAPA SOMO WATEJA WAKE MBEYA.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wateja wa Nmb, Jeremia Mahenge akifungua mkutano wa umoja wa wateja wa NMB katika ukumbi wa RC MwanelwaMeneja Mahusiano wa NMB Makao makuu, Dickson Pangamawe, akiwapa somo wateja wakMtaalamu wa Biashara ya kimataifa wa NMB makao makuu Alatunoze Sanga akitoa somo kwa wateja wa Nmb katika mkutano huoWateja wa NMB Mkoa wa Mbeya wakiwa makini kusikiliza somokwapicha zaidi bofya soma zaidiAfisa mikopo NMB Mbalizi Road HANCESON Kyambi akieleze sasa wanatoa mikopo ya bajaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani