Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA NMB KWA WATEJA WAKE


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA WATEJA WA BENKI YA NMB NA UMMA KWA UJUMLA

Katika kufikia ahadi yetu iliyopo kwenye malengona dira ya benki ya kuwa taasisi ya fedha inayopendelewa zaidi nchini kupitia mtandao mpana wa matawi unaotoa huduma kwa gharama nafuu zaidi zenye kumlenga mteja na jamii ya watanzania,Tunapenda kuwataarifu wateja wetu na umma kwa ujumla kuwa matawi yetu yote yatafungwa siku ya Alhamisi Novemba 5, 2015 ili kupisha sherehe za kitaifa za kuapishwa kwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Huduma...

 

10 years ago

Michuzi

Sasa NMB kuwafikia wateja wake Mpaka Vijijini kupitia NMB Wakala

Banki ya NMB imeingia makubaliano na kampuni ya Maxcom kupitia mtandao wa mawakala wanaojulikana kama Max Malipo kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibenki. HUduma hii itakuwa inaitwa NMB Wakala na itakuwepo kwenye kila wakala wa MaxMalipo waliotapakaa nchi nzima.
Kuingia kwa MaxCom kwenye benki ya NMB kunamaanisha kuwa NMB itazidi kupanua Zaidi mtandao wao kwa kuingia hadi vijijini tofauti na benki zingine. Kupitia mawakala wa MaxCom, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka fedha kwenye...

 

11 years ago

GPL

NMB YAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WATEJA WAKE‏

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Bw.Meck Sadick (kwanza Kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vifaa vya hosipitali Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ,Dr Meshack Shimwela .Mashuka ya Hospitali pamoja na Vitanda vya wodi ya akina mama ni miongoni mwa vifaa vilivyotolewa .Makabidhiano haya yamefanyika jana wakati wa uzinduzi wa tawi la NMB mandela Road Katikati ni Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam,...

 

11 years ago

Michuzi

NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE

Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mkononi Tigo wamezindua huduma ya kuweka na kutuma pesa kupitia simu za mkononi. Lengo kubwa la huduma hii ni kuwezesha huduma za kibenki kuwafikia wateja kwa ukaribu na urahisi zaidi.
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

MSD YABORESHA HUDUMA ZA UTOAJI TAARIFA KWA WATEJA WAKE

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
BOHARI ya dawa (MSD) imeboresha huduma kwa wateja wake kwa kutoa taarifa zinazomhusu mteja kwa kuziweka wazi katika tovuti yao.
Amesema hayo Kaimu Mkurugenzi Huduma kwa Wateja na Shughuli za Bohari ya Dawa (MSD), Edward Terry, akizungumza na wandishi wa habari katika ukumbi wa Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
Terry amesema kuwa taarifa hizo ni za mali inayopatikanagharani, taarifa za kiasi cha fedha za wateja kilichopo katika kila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani