Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA WATEJA WA BENKI YA NMB NA UMMA KWA UJUMLA

Katika kufikia ahadi yetu iliyopo kwenye malengona dira ya benki ya kuwa taasisi ya fedha inayopendelewa zaidi nchini kupitia mtandao mpana wa matawi unaotoa huduma kwa gharama nafuu zaidi zenye kumlenga mteja na jamii ya watanzania,Tunapenda kuwataarifu wateja wetu na umma kwa ujumla kuwa matawi yetu yote yatafungwa siku ya Alhamisi Novemba 5, 2015 ili kupisha sherehe za kitaifa za kuapishwa kwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Huduma...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUWASILISHA MALALAMIKO YA WATEJA KWENYE TAASISI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA

Benki Kuu ya Tanzania imekuwa ikipokea malalamiko mengi kutoka kwa wateja wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha nchini yakiwemo kutokupewa mikataba ya mikopo, kutokupewa taarifa ya mikopo (loan statement) wanapotaka kulipa mikopo hiyo, kuchelewa kujibiwa.
maombi yao ya kulipa mkopo mapema, kutozwa riba na gharama zingine kubwa wanapotaka kulipa mkopo mapema. Kutokana na malalamiko hayo, Benki Kuu ya Tanzania imewaagiza Watoa Huduma Ndogo za Fedha waliolalamikiwa kuchukuwa hatua zifuatazo:

1....

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya NMB yazindua mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa mikopo, wateja sasa kupata mikopo ndani ya siku 4

NMB-1

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 .

NMB -2

Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU HUDUMA KWA WATEJA WA BENKI KUU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA COVID-19

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) inapenda kuutarifu umma kuwa, kufuatia maelekezo ya Serikali kutaka wananchi kuchukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona, kuanzia siku ya Jumatano tarehe 22 Aprili 2020, wananchi wote watakaotembelea ofisi za Benki Kuu  kote nchini watatakiwa kuvaa barakoa (masks) kwa lengo la kujikinga wao wenyewe na kuwakinga wafanyakazi watakaowahudumia dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Katika kuepuka msongamano, Benki Kuu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya CRDB yampa tunzo Mohammed Dewji ‘MO’ kwa ushiriki mkubwa wa benki hiyo katika wiki ya huduma kwa wateja

MO D

Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji  mkuu wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front  wakati wa  kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi za MeTL GROUP,  jijini Dar es Salaam.

MO2

Afisa Mtendaji  mkuu wa Mohammed enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mo dewji  akionyesha barua ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani