Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NOOIJ ATANGAZA KIKOSI CHA STARS KITAKACHOIVAA MSUMBIJI

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Martinus Ignatius "Mart" Nooij akitangaza kikosi cha wachezaji 20 watakaoivaa timu ya Taifa ya Msumbiji ‘Mambas’.
Wachezaji wa Stars wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi Mwinyi Kazimoto (kulia) wa Al Markhiya ya Qatar na Thomas Ulimwengu (TP Mazembe ya DR Congo wakimsikiliza kocha Nooij akitaja kikosi. Na Mohammed Mdose
KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KOCHA NOOIJ KUTAJA KIKOSI CHA STARS NOVEMBA 4

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij keshokutwa (Novemba 5 mwaka huu) atatangaza kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) itakayochezwa ugenini Novemba 16 mwaka huu.
Nooij atatangaza kikosi hicho mbele ya waandishi wa habari katika mkutano utakaofanyika saa 4.30 asubuhi kwenye ofisi za TFF zilizoko ghorofa ya tatu, Jengo la PPF Tower jijini Dar es Salaam.
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itacheza na...

 

10 years ago

Michuzi

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28


Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya
Tanzania (Taifa Stars), Mart NooijKocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam, kujiandaa na michuano ya kombe la COSAFA na kuwania kufuzu kwa AFCON na CHAN mwezi Juni mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF amesema, wachezaji 28 aliowaita, amewaona kwa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA CP SABAS AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUIMARISHA ULINZI, USALAMA KATIKA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI

 Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia  Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo.  Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akikagua moja ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika Operesheni ya kuimalisha ...

 

9 years ago

StarTV

  Kombe La Challenge Kocha Kibaden atangaza kikosi cha wachezaji 21.

 

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Bara,  ‘Kilimanjaro Stars’,  Abdallah Kibadeni ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kujiandaa na michuano ya Kombe la Chalenji itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi Novemba 21, nchini Ethiopia.

Kibadeni anayesaidiwa na kocha Juma Mgunda, amesema wachezaji aliowaita wapo katika hali nzuri na wamekua wakifanya mazoezi na kikosi cha Taifa Stars ambao kama benchi la ufundi wamepata nafasi ya kuwa nao kwa muda mrefu na kutambua maendeleo yao.

Muda wa kutengana...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA CP SABAS AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOANI MTWARA KUIMALISHA ULINZI NA USALAMA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI.


Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo. (PICHA...

 

10 years ago

BBCSwahili

Noij kutaja kikosi cha Stars

Kocha Mart Nooij Alhamisi anategemewa kutangaza kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya kuanza mazoezi kujiandaa na kombe la COSAFA .

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikosi cha Taifa stars chatangazwa

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 .

 

11 years ago

Mwananchi

Uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, TFF yapingwa

Uamuzi wa Shirikisho la Soka  Tanzania (TFF) kuteua timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars umepokewa kwa hisia tofauti na wadau mbalimbali wa soka nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani