Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


not to miss 2014 khanga party @ SAFARI CARNIVAL NEW KAWE BRIDGE, DAR ES SALAAM


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Usiku wa Old is Gold taarab kila Jumapili ndani ya Safari Carnival, Kawe.Dar es salaam

Na Andrew ChaleUSIKU wa Old is Gold taarab  unatarajiwa kurindima ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikochezni B, kwa wadau kupata burudani ya muziki wa mwambao wa kizamani.Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin alieleza kuwa  ni kila Jumapili  ndani ya ukumbi huo utakuwa na burudani ya kipekee kwa nyimbo za mwambao pamoja na ‘surprise’ mbalimbali kwa watakaofika hapo.“Kila jumapili  kwa kiingilio cha sh 5,000 tu. Wapenzi wa muziki wa...

 

10 years ago

Michuzi

Old is gold Taarab leo na kila Jumapili Safari Carnival, Kawe Darajani, Dar es salaam


Mama wa Mitindo Asya Idarous-Khamsin anakwambia Old is gold Taarab ni Leo jumapili Na jumapili zote at Safari Carnival Kawe Darajani Dar es salaam kuanzia saa 2 usiku kwa kiingilio cha 5,000 shs Tu Njoo ukutane Na nyimbo tamu KamaKashaMapenzi yako matamuKanilemazaNimesalitikaHakika nnakupenda Umetoka kwangu kwa unrisiUmbo langu dawa Na nyinginezo...

 

10 years ago

Michuzi

ASIA IDAROUS KHAMSIN ANAKULETEA RED CARPET NA USIKU WA KHANGA PARTY LEO SAFARI CARNIVAL


Na Andrew Chale
USIKU maalum wa kuenzi vazi la Khanga na magwiji wa taarab nchini 'Usiku wa Khanga Party na Spice Modern Taarab' unapotarajia kulindima usiku wa leo Novemba 29 ndani ya Ukumbi wa Safari Carnival, Mikocheni B, karibu na daraja la Kawe, na kusindikizwa na gwiji wa mipasho Khadija Kopa pamoja na Bilal Mashauzi. Kwa mujibu wa Mama wa Mitindo Bi. Asia Idarous Khamsin amebainisha kuwa kwa ushirikiano wa Fabak Fashions na Safari Carnival wameandaa usiku huo maalum kuenzi vazi la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau kuusubiri mwaka mpya na Old Is Gold taarab ndani ya Safari Carnival, Kawe

10862708_1050205801671873_4435969063454828412_o

Na Andrew Chale

SAFARI Carnival kwa kushirikiana na Asia Idarous Khamsin (Fabak fashions) usiku wa 31/12/2014, Wameandaa shoo maalum ya Mkesha wa mwaka mpya ‘Old Is Gold taarab’, Ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Kawe jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin alieleza shoo hiyo maalum wadau mbalimbali watakutana kuupokea mwaka kwa pamoja huku wakipata burudani ya muziki wa taarab wa zamani ‘Old is Gold’ pamoja na ‘Surprise’ kibao.

“Kwa...

 

10 years ago

ETurboNews

Miss Tanzania 2014 promises to be in Seychelles for carnival 2015


eTurboNews
Miss Tanzania 2014 promises to be in Seychelles for carnival 2015
eTurboNews
Tanzania will be joining other nations in the upcoming Carnival International de Victoria to be held from April 24-26, 2015. This East African country will be represented by its 2013 beauty queen Happiness Watimanywa. Miss Watimanywa has confirmed that ...

 

10 years ago

Bongo5

Usahili wa Miss Universe Tanzania 2014 unafanyika leo Dar es Salaam

Usahili wa Miss Universe Tanzania 2014 kwa mkoa wa Dar es Salaam unafanyika leo hii katika hoteli ya Golden Tulip kuanzia sa 9:30 hadi saa 10 jioni.

 

10 years ago

Michuzi

MASAI SAFARI BENDI KUZINDUA ALBUM AGOSTI 30, 2014 UKUMBI WA LUNCH TIME, DAR ES SALAAM


 BENDI ya Masai Safari ya jijini Dar es salaam inatarajia kuzindua albam yake ya kwanza kabisa watakayozindua siku ya  Agosti  30, mwaka huu  katika ukumbi wa Lunch Time,  Tip Top Manzese jijini Dar.Akizungumzia uzinduzi wa albam hiyo rais wa bendi hiyo Fransic Mwaisela amesema kwamba siku hiyo watasindikizwa na bendi mbalimbali wakiongozwa na bendi ya Extra bongo inayo ongozwa na Ali Choki.Alizitaja nyimbo zilizomo katika albam hiyo ni sita itakayozinduliwa siku hiyo ikiwa nyimbo ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani