NTAGANDA ANAKANUSHA MASHTAKA YANAYOMKABILI-ICC
Aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bosco Ntaganda Aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bosco Ntaganda amekanusha mashtaka yaliyokuwa yakimkabili ya uhalifu wa kivita na ukatili dhidi ya binadamu, baada ya kufikishwa katika mahakama ya Kimataifa ya makosa ya jinai, ICC, iliyoko mjini tThe Haque. Bosco Ntaganda anatuhumiwa na mashtaka 18 ikiwemo kuhusika na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
Bosco Ntaganda mahakamani ICC
9 years ago
BBC02 Sep
DR Congo's Ntaganda ICC trial to begin
9 years ago
StarTV02 Sep
Ntaganda kusimama kizimbani ICC leo
Mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya ICC, Fatou Bensouda, amemtaja Bosco Ntaganda kama mtu mwenye sifa mbaya.
Kesi dhidi ya kiongozi huyo wa zamani wa waasi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC inatarajiwa kuanza kesho.
Ntaganda anatuhumiwa kupanga na kuendesha kampeini ya kikatili Mashariki mwa Congo.
Bensouda amesema Ntaganda aliwalazimisha mamia ya watoto kujiunga na jeshi lake na kwamba wanajeshi wasichana walibakwa na kuwekwa kama watumwa wa ngono.
Wakili wa Ntaganda anayetoka...
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Ushahidi dhidi ya Ntaganda watolewa ICC
11 years ago
BBCSwahili09 Jun
ICC:Tuna ushahidi dhidi ya Ntaganda
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
Kesi dhidi ya Ntaganda kuanza ICC leo
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Rais Uhuru Kenyatta hana mashtaka ICC
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
Wakati Nyalandu Anakanusha Kuhusika na Mimba ya Aunty Ezekiel, Iyobo Nae Ana Haya..…
Baada ya hapo jana Waziri Lazaro Nyalandu kupitia Clouds FM kukanusha tuhuma zilizokuwa zimezagaa kwenye magazeti na mitandaoni za kuwa anachepuka na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Aunty Ezekiel na kusisitiza kuwa yeye sio muhusika wa ujauzito wa mwigizaji huyo, nikaamua kupitapita kwenye kurasa za mcheza shoo wa Diamond, Moses Iyobo ambae ndio anasemekana kuwa yeye ndio amempa ujauziko mwigizaji huyo.
Kwanza nilikutana na andiko la malalamiko kutoka kwa Iyobo, ambae alikuwa ameweka...
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Ntaganda kizimbani the Hague