Nungwana kuweka wakfu albamu zake Jumapili
MWIMBAJI wa nyimbo za injili jijini Arusha, Samwel Nungwana, anatarajiwa kuweka wakfu albamu zake mbili, katika ibada itakayofanyika viwanja vya Kanisa la Anglikana la Mtakatifu James, Kaloleni, Jumapili. Tukio hilo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Albamu ya Adele kuweka historia ya mauzo UK
9 years ago
Michuzi
UPENDO NKONE KUZINDUA ALBAMU YA NYIMBO ZA INJILI YA "OMBA YESU ANASIKIA" JUMAPILI HII

ALBAMU ya OMBA YESU ANASIKIA kuzinduliwa Septemba 27 mwaka huu(Jumapili hii) katika kanisa la TAG la upanga mkabala na chuo cha Uzumbe kwa Askofu Mwanesongore.
hayo yalisemwa na Mwimbaji wa nyimbo za Injili,Upendio Nkone wakati akizungumza na waandishi wa habari...
11 years ago
Michuzi
ROSE MUHANDO ALALAMIKIA WEZI WA KAZI ZA WASANII,KUACHIA ALBAMU YAKE HALISI JUMAPILI

11 years ago
Michuzi
ROSE MHANDO ALIZWA NA WEZI WALIOIBA ALBAMU YAKE MPYA KABLA HAJAITOA JUMAPILI

9 years ago
Michuzi
MSD kuweka nembo ya serikali kwenye dawa zake

Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi Mkuu wa MSD Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho maalum ili endapo zikikutwa zipo...
10 years ago
Michuzi03 Aug
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI BONNE MWAITEGE AZINDUA ALBAMU ZAKE TATU KWA MPIGO JIJINI DAR




9 years ago
MichuziMSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa
Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Mfuko wa Wakfu watoa vitendea kazi
MFUKO wa Wakfu wa Kuendeleza Zao la Korosho nchini (CIDTF), kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), wamekabidhi vitendea kazi kwa Wakurugenzi wa Halmashauri saba kwa ajili ya maofisa...
10 years ago
Dewji Blog24 Nov
Pinda ahudhuria sherehe za kumweka wakfu Askofu wa Anglican Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na washiriki wa ibada ya kumweka wakfu, Askofu wa Da yosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani kwenye kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa Ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye ibada hiyo iliyofanyika kwenye kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma ...