Nuru The Light atoka na ngoma mpya iitwayo ‘L’
Ukimya wa miaka miwili wa Nuru The Light ulikuwa na makusudi mahsusi ya kutaka kubadilisha upepo wa muziki wa Tanzania. Ameutumia kutengeneza muziki tofauti, mzuri na utakaokuwa na ladha inayoishi kwa miaka mingi zaidi kwenye masikio ya wapenzi wa muziki.
Na sasa anarejea kwa kishindo kwa kuachia wimbo anaouelezea kama wenye utofauti mkubwa na muziki uliopo kwenye mzunguko wa nyimbo zinazochezwa kwenye redio.
Nuru anasema hakutaka ujio wake kutoka kwenye ukimya wa miaka miwili uwe wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo527 Aug
Audio: Nuru The Light aachia wimbo mpya uitwao ‘L’
10 years ago
Vijimambo
Nuru the Light aachia video ya wimbo wake mpya ‘L’
Muimbaji wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Sweden, Nuru The Light ameachia video ya wimbo wake mpya ‘L’. Nuru alifanya uzinduzi rasmi wa video hiyo Jumamosi hii kwenye kiota kipya cha starehe, Jozi Lounge kilichopo Msasani jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi huo ulihudhuriwa na mastaa, marafiki zake wa karibu na mashabiki.
Video ya wimbo huo imefanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na muongozaji na mshindi wa tuzo kibao, Adam Juma aka AJ. Mandhari ya kuvutia ya fukwe za bahari ya Hindi...
10 years ago
CloudsFM20 Nov
DIAMOND AACHIA AUDIO&VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA IITWAYO NTAMPATA WAPI
Diamond Platinumz wakati akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo Ntapata Wapi leo hii kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
Hapa akichagua barua za wale waliotuma kwa ajili ya watoto wao wanaompenda Diamond na atakayeshinda atatembelewa na msanii huyo nyumbani kwake.
10 years ago
Bongo514 Oct
Video: Nuru the Light — L (Re-Uploaded)
11 years ago
Michuzi
Mahojiano na Kwanza Production na NURU THE LIGHT

10 years ago
Mtanzania12 Aug
Nuru the Light: Wasanii msiige ya Nigeria
NA JULIET MORI (TUDARCO)
MSANII wa Bongo Fleva anayefanyia shughuli zake za kimuziki nchini Sweden, Nuru Magram ‘Nuru the Light’ amewataka wasanii wa Tanzania waache kushindana na soko la sanaa la Nigeria kwa kuwa halifanani na soko la hapa.
Msanii huyo alisema hayo jana, alipotembelea ofisi za kampuni ya New Habari (2006) Ltd, inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, The African na Rai.
Alisema Wanigeria hawakuanza jana kuwekeza katika sanaa, ndiyo maana sanaa yao hubadilika...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Bongo526 Oct
Nuru The Light aeleza kwanini wanamuziki wa kike hawashirikiani kama wa kiume