Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nuru The Light aeleza kwanini wanamuziki wa kike hawashirikiani kama wa kiume

Ni nadra sana wasanii wa kike kushirikishana kwenye nyimbo zao kama wafanyavyo wasanii wa kiume. Tatizo ni nini? Tumezungumza na msanii wa Tanzania anayeishi nchini Sweden, Nuru The Light aliyetueleza sababu. “Wanawake hawajakuzwa kwenye mazingira ya kucompete na wanaume, let alone na wanawake wenzao. So chochote kile kitakachowafanya washirikiane always kutakuwa na doubt au insecurities, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Lamar aeleza kwanini haishi na mwanae wa kike mwenye miaka 8!

Lamar ana mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane aitwaye Nisha. Akiongea hivi karibuni kwenye kipindi cha Chill na Sky, Lamar alisema haishi na mwanae kwakuwa yupo nje ya nchi. “Mimi mtoto wangu alikuwa hakai sana na mimi na mama yake alikuwa anaishi Canada sasa hivi yupo Marekani. Huwa anakuja wakati wa likizo tu,” […]

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA AJABU AZAWALIWA IRINGA HAFAHAMIKI KAMA WA KIUME AMA WA KIKE ,MAMAKE AOMBA MSAADA

Sophia Kindamba akiwa na mwanae Junior Richard Rutta
..................................... MTOTO Junior Richard Rutta ambaye jinsia yake haieleweki anatafuta msaada utakaomuwezesha kufanyiwa uchunguzi katika hospitali ya CCBRT, jijini Dar es Salaam. Mtoto huyo mwenye miaka miwili na miezi saba anaishi na mama yake mzazi, Sophia Kindamba, mtaa wa Mtwivilla, mjini Iringa. Akiomba msaada huo, mama yake alisema jitihada za madaktari wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuchunguza na hatimaye...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Nuru the Light — L (Re-Uploaded)

Nuru The Light anakuletea video ya wimbo wake L. Video ilifanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na muongozaji na mshindi wa tuzo kibao, Adam Juma aka AJ. Mandhari ya kuvutia ya fukwe za bahari ya Hindi yanaonekana vyema kwenye video hii na uzuri wa Nuru unaongeza kitu cha kuvutia machoni. Nuru alikuwa kimya kwa […]

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano na Kwanza Production na NURU THE LIGHT

Photo Credits: Bongo Celebrity Karibu katika mahojiano kamini kati ya Kwanza Production na NURU THE LIGHT. Msanii, Mjasiriamali, Mtangazaji, Blogger na Mwanaharakati ambaye amekuwa mkarimu sana kujiunga nasi moja kwa moja kutoka Stockholm Sweden Kazungumza mengi ikiwa ni pamoja na alivyoanza muziki Kisha akagusia kuhusu onyesho lake la kwanza kabisa jukwaani. Na kama nilivyokuja kumtambua, ni mtu mwenye misimamo na anayejitambua, utamsikia msimamo wake awapo studio Nikataka kujua pia, nini...

 

10 years ago

Mtanzania

Nuru the Light: Wasanii msiige ya Nigeria

Nuru the lightNA JULIET MORI (TUDARCO)

MSANII wa Bongo Fleva anayefanyia shughuli zake za kimuziki nchini Sweden, Nuru Magram ‘Nuru the Light’ amewataka wasanii wa Tanzania waache kushindana na soko la sanaa la Nigeria kwa kuwa halifanani na soko la hapa.

Msanii huyo alisema hayo jana, alipotembelea ofisi za kampuni ya New Habari (2006) Ltd, inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, The African na Rai.

Alisema Wanigeria hawakuanza jana kuwekeza katika sanaa, ndiyo maana sanaa yao hubadilika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ellie na Nele: Wabadili jinsia kutoka ya kike hadi kiume na kurejesha ya kike tena

Wanaume wawili waliobadili jinsia na kubadili fikra zao katika ya safari yao ya maisha

 

9 years ago

Dewji Blog

Nuru The Light atoka na ngoma mpya iitwayo ‘L’

Nuru the Light single cover

Ukimya wa miaka miwili wa Nuru The Light ulikuwa na makusudi mahsusi ya kutaka kubadilisha upepo wa muziki wa Tanzania. Ameutumia kutengeneza muziki tofauti, mzuri na utakaokuwa na ladha inayoishi kwa miaka mingi zaidi kwenye masikio ya wapenzi wa muziki.

Na sasa anarejea kwa kishindo kwa kuachia wimbo anaouelezea kama wenye utofauti mkubwa na muziki uliopo kwenye mzunguko wa nyimbo zinazochezwa kwenye redio.

Nuru anasema hakutaka ujio wake kutoka kwenye ukimya wa miaka miwili uwe wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani