Audio: Nuru The Light aachia wimbo mpya uitwao ‘L’
Ukimya wa miaka miwili wa Nuru The Light ulikuwa na makusudi mahsusi ya kutaka kubadilisha upepo wa muziki wa Tanzania. Ameutumia kutengeneza muziki tofauti, mzuri na utakaokuwa na ladha inayoishi kwa miaka mingi zaidi kwenye masikio ya wapenzi wa muziki. Na sasa anarejea kwa kishindo kwa kuachia wimbo anaouelezea kama wenye utofauti mkubwa na muziki […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Nuru the Light aachia video ya wimbo wake mpya ‘L’
Muimbaji wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Sweden, Nuru The Light ameachia video ya wimbo wake mpya ‘L’. Nuru alifanya uzinduzi rasmi wa video hiyo Jumamosi hii kwenye kiota kipya cha starehe, Jozi Lounge kilichopo Msasani jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi huo ulihudhuriwa na mastaa, marafiki zake wa karibu na mashabiki.
Video ya wimbo huo imefanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na muongozaji na mshindi wa tuzo kibao, Adam Juma aka AJ. Mandhari ya kuvutia ya fukwe za bahari ya Hindi...
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Nuru The Light atoka na ngoma mpya iitwayo ‘L’
Ukimya wa miaka miwili wa Nuru The Light ulikuwa na makusudi mahsusi ya kutaka kubadilisha upepo wa muziki wa Tanzania. Ameutumia kutengeneza muziki tofauti, mzuri na utakaokuwa na ladha inayoishi kwa miaka mingi zaidi kwenye masikio ya wapenzi wa muziki.
Na sasa anarejea kwa kishindo kwa kuachia wimbo anaouelezea kama wenye utofauti mkubwa na muziki uliopo kwenye mzunguko wa nyimbo zinazochezwa kwenye redio.
Nuru anasema hakutaka ujio wake kutoka kwenye ukimya wa miaka miwili uwe wa...
10 years ago
Michuzi
boniface aachia wimbo na video mpya - nikitaka
Kwa mara nyingine tena Yule msanii machachari ambaye anainukia kwa kasi katika muziki wa bongofleva Boniface( a.k.a handsome boy a.k.a asali ya Morogoro a.k.a bon-to-face) kwa mara nyingine tena ameachia wimbo na video yake mpya iitwayo “Nikitaka”.
Audio ya wimbo huo umefanyika katika studio za Authentic Record jijini Dar es salaam chini ya Producer mwenye kiwango za hali ya juu Mr. Allan Mapigo,
Video ya wimbo huu imefanywa kampuni mpya kabisa shine studioz, ni moja ya kazi safi...
10 years ago
Bongo508 Jan
New Music: Ne-Yo aachia wimbo mpya ‘Make It Easy’
10 years ago
Bongo514 Oct
Video: Nuru the Light — L (Re-Uploaded)
11 years ago
Bongo526 Oct
Drake aachia nyimbo 3 mpya siku moja baada ya Bday yake (Audio)
9 years ago
Bongo502 Dec
Video: Mshindi wa Maisha Superstar, PHY aachia wimbo mpya ‘Ruka’

Mshindi wa shindano la Maisha Superstar 2015, PHY kutoka Kenya ameachia wimbo wake mpya ‘Ruka’ (video na audio) aliowashirikisha King Kaka & Khaligraph Jones. King Kaka ndiye aliyekuwa ‘mentor’ wake kwenye shindano hilo. Mwezi uliopita PHY ambaye jina lake halisi ni Phyllis Mwihaki Ng’etich pia alizindua album yake mpya ‘Phylosophy’
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia...
11 years ago
Michuzi
Mahojiano na Kwanza Production na NURU THE LIGHT
