Nyalandu aingia ofisini kwa ‘vitisho’
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameingia ofisini kwa mara ya kwanza jana baada ya kuapishwa juzi na Rais Jakaya Kikwete huku akitangaza kuanza na watumishi wote walioidhalilisha Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kujihusisha kwa njia moja ama nyingine na majangili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Mwigulu achukua fomu ya Ubunge na kutoa vitisho kwa wagombea wa nafasi hiyo Iramba
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwa katika usafiri wa bodaboda akiingia kwenye ofisi ya CCM Wilaya ya Iramba ikiwa ni moja ya staili ya kuwaomba kura wapiga kura wa jimbo la Iramba.
Mwigulu Nchemba akiwasili Ofisi za chama cha Mapinduzi Wilaya ya Iramba,Mamia ya Wananchi walijumuika naye kumsindikiza ili awezekuchukua Fomu hiyo na hatimaye kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwa Mgombea Ubunge Wilaya ya Iramba.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM akisaini kitabu cha mahudhurio baada...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
RC mpya aingia kwa kishindo Morogoro
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Shetta aingia kwa ubabe shoo ya Juma Nature
NA RHOBI CHACHA
AKIWA na wapambe 15 msanii wa Bongo Fleva, Nurdin Bilali ‘Shetta’, alilazimika kutumia nguvu za ziada ili kuingia na wapambe wake hao katika shoo ya kuadhimisha miaka 16 ya muziki kwa msanii Juma Nature, iliyofanyika katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Shetta ilimlazimu kufanya uamuzi huo baada ya njia yake ya kutishia kususia kufanya onyesho lake katika onyesho hilo kupuuzwa huku akikataliwa kuingia na idadi hiyo kubwa ya wapambe wake badala yake...
10 years ago
GPLMR. UWAZI AINGIA MTAANI KWA MBWEMBWE NA KUGAWA ZAWADI
9 years ago
Mwananchi07 Oct
M/kiti CWT aingia matatani kwa kuhudhuria mkutano wa Lowassa
10 years ago
Michuzi21 Feb
KUSHEHEREKEA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM MGENI RASMI RIDHIWANI KIKWETE AINGIA NEW YORK