Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYAMA CHOMA YA DICOTA 2014 YAFANA

Mhe. Liberata Mulamula akihudhuria nyama choma ya DICOTA 2014 iliyofanyika baada ya mkutano mkuu kumalizika jioni ya Jumamosi Oct 4, 2014.Mkuu wa kitengo cha Diaspora Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Bi. Rosemery Jairo akichoma kuku kwenye nyama choma ya DICOTA iliyofanyika jioni ya Jumamosi Oct 4, 2014 Durham, North Carolina.Wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano wa DICOTA 2014 wakipata nyama choma.Nyama choma ikiendelea.kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YAZINDUA MASHINDANO YA NYAMA CHOMA 2014 JIJINI DAR LEO

 Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (kushoto) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam wakati wa kutangaza Uzinduzi rasmi wa Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma 2014,ambapo amesema kuwa lengo kuu la Shindano hilo ni kuongeza hamasa kwa watayarishaji na walaji wa Nyama Choma ili kwa pamoja waweze kufahamu viwango bora katika uchomaji na utayarishaji wa Nyama Choma.Kulia ni Jaji Mkuu wa Mashindano ya Nyama Choma...

 

11 years ago

Michuzi

New City Pub ndio Mabingwa wa Safari Nyama Choma 2014 jijini Mbeya

Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Dk.Samweli Lazaro (katikati) na jaji Mkuu wa mashindano ya Safari Nyama Choma, Lawrence Salvi (kulia) wakimkabidhi zawadi ya Kombe na fedha taslimu Shilingi milioni moja(1,000 000) mpishi Mkuu wa New City Pub, Geofrey Mwashilindi mara bada ya kuibuka mabingwa wa mashindano ya Safari Nyama Choma 2014 yaliyojanyika katika Viwanja vya CCM Ilomba Mkoani Mbeya mwishoni mwa wiki .Wapili kulia ni Meneja wa bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo na Meneja wa Tawi...

 

11 years ago

Vijimambo

DICOTA 2014 CONVENTION GALA DINNER YAFANA, WADHAMINI, WADAU DIASPORA WAPATA VYETI NA TUZO

FASHION SHOW NI BALAA Msanii wa vichekesho Masanja Mkandamizaji akisalimia wadau kwa kuwavunja mbavu kwenye DICOTA 2014 Gala Dinner iliyofanyika Ijumaa usiku Oct 3, 2014 katika Hotel ya Millennium Durham, North Carolina nchini Marekani kwenye Gala Dinner kulitolewa vyeti kwa wadhamini wa ndani na nje ya Marekani waliowezesha DICOTA 2014 Convention kuwa ya mafanikio.
Waliowezesha DICOTA 2014 Convention kupata mafanikio kuanzia uongozi wa juu wa DICOTA mpaka kamati ya maandalizi wakaazi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja Rock City - Jembe Ni Jembe Oktoba 25, 2014.


 Taswira za Nyama Choma Festival iliyofana sana katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam nyama choma festival ya 6th September. Mambo haya yanahamia Mwanza Oktoba 25, 2015Kwa picha zaidi BOFYA LINK HIIhttps://www.facebook.com/media/set/?set=a.753558134705471.1073741852.164302240297733&type=3


 

10 years ago

Vijimambo

DICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA

Viongozi wa DICOTA Lunda Asmani na Dr. Kurwa Nyigu walifika jioni ya Desemba 8, 2014 ofisi ya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington DC kumkabidhi Mhe. Liberata Mulamula ripoti ya mkutano wa kongamano wa DICOTA wa 2014 uliofanyika mapema mwezi Oktoka kati ya tarehe 2 mpaka 5.

Katika makabidhiano hayo yaliyo ambayo yalikua ni maelezo ya viongozi wa DICOTA na maoni ya wahudhuriaji wa mkutano huo wa kongamono wa ndani na nje ya Marekani ikiwemo DVD 2 ya...

 

10 years ago

GPL

DICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA‏

 Viongozi wa DICOTA Lunda Asmani (kushoto)na Dr. Kurwa Nyigu wakitia saini kitabu cha wageni mara tu walipofika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC kuonana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamuala (hayupo pichani) na kumkabidhi ripoti ya mkutano wa kongamano wa DICOTA uliofanyika mapema mwezi wa Oktoba kwenye tarehe 2 mpaka 5 2014.… ...

 

11 years ago

Michuzi

NYAMA CHOMA FESTIVAL

NYAMA CHOMA FESTIVAL-DAR 6 SEPT TICKETS ZINAUZWA SAMAKI SAMAKI YA POSTA NA YA MLIMANI CITY KWA SH 7000 TU.GETINI SH 10,000.

 

11 years ago

Mwananchi

Shindano la Nyama choma lafunguliwa

>Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Safari imetangaza rasmi uzinduzi wa shindano la uchomaji  nyama kwa mwaka huu wa 2014.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani