Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYERERE DAY ILIVYOBAMBA NDANI YA KIOTA CHA BURUDANI MAMIZ GATE WAY JIJINI MWANZA

Jana ilikuwa ni mapumziko kwa Watanzania ikiwa ni kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mwasisi wa Taifa la Tanzania hayati baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliefariki dunia Octoba 14,1999
Katika kuwajali wakazi wa Jiji la Mwanza, Mamiz Grand Resort pamoja na Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani ziliwakutanisha watanzania pamoja na kuketi kwa ajili ya kutafakari siku hiyo.Kulikuwa na Live Band kutoka kwao Wasamalia Band. Kutana nao ndani ya Mamiz Gate Way kila Jumatano na Ijumaa, Pia kila...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NYERERE DAY MAMBO YOTE NI NDANI YA KIOTA CHA BURUDANI JIJINI MWANZA MAMIZ GRAND RESORT.

Ni mwaka wa 16 tangu Bata wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipoiaga dunia (Actoba 14,1999) ambapo hii leo Watanzania wote wanaungana pamoja kwa ajili ya kutafakari miaka hiyo 16 bila uwepo wa mwasisi wa Taifa lao.Kwa kutambua umuhimu wa siku hii, Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani Jijini Mwanza wamekuandalia mazingira mazuri kwa ajili ya mapumziko yako wewe pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zako.R.I.P MWL.NYERERE.Kwa wale wapenzi wa muziki wa band, burudani...

 

9 years ago

Michuzi

Dj Bonny Love alivyokonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika usiku wa Heart & Soul kiota cha maraha cha Raphsody ndani ya Jengo la Viva Towers jijini Dar

Mkali wa magoma hapa nchini na nje, Dj Bon Love akifanya yake katika Usiku wa Heart & Soul uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye kiota kinachobamba zaidi hapa mjini cha Raphsody, ndani ya Jengo la Viva Towers katikati ya Jiji la Dar. Dj Bon Love na maDJ wengine wakali hukutana pamoja kwenye kiota hicho ili kukonga nyoyo za wapenda Burudani kutoka maeneo mbalimbali.Usiku huo uliwezeswa kwa Udhanimi Mkubwa wa Kilaji ya Heineken.Baadhi ya Wadua wa Burudani wakiwepo DJ. Venture na...

 

10 years ago

GPL

SHOW YA LADY JAY DEE NA ALI KIBA ILIVYOBAMBA KIOTA CHA M.O.G

Mwanamuziki Lady Jay Dee akitoa burudani na Machozi Band Ijumaa ya tarehe 27 mwezi huu ndani ya kiota chake cha Mog Bar & Restaurant (Nyumbani Lounge) katika show anazofanya mara moja kwa mwezi kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi ambapo Ijumaa hiyo alimualika Msanii machachari wa Bongo Flava Ali Kiba kwa ajili ya kukonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya kiota hicho. Pichani juu na chini ni mashabiki wa Machozi Band wakimtunza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Show ya Lady Jay Dee na Ali Kiba ilivyobamba kiota cha M.O.G Bar & Restaurant

DSC_0035

Mwanamuziki Lady Jay Dee akitoa burudani na Machozi Band Ijumaa ya tarehe 27 mwezi huu ndani ya kiota chake cha Mog Bar & Restaurant (Nyumbani  Lounge) katika show anazofanya mara moja kwa mwezi kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi ambapo Ijumaa hiyo alimualika Msanii machachari wa Bongo Flava Ali Kiba kwa ajili ya kukonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya kiota hicho.

DSC_0033

DSC_0058

Vijana watanashati wenye vipaji vya aina yake wa Machozi Band wakipiga Back Vocal kumpa sapoti Lady Jay Dee a.k.a Komando Binti...

 

10 years ago

Michuzi

Kiota Kipya cha maraha ndani ya Bunju, jijini Dar es salaam

Posto Bella Resort, Kiota Kipya cha maraha pande za  ya Bunju jijini  Dar es salaam.

Chimbo jipya kwa jina La Posto Bella Resort limefunguliwa nje kidogo ya mji wa Dar. Kwa wale wanaopenda maeneo private, utulivu na salama, hakuna haja ya kuumiza kichwa. 
Kama inavyoonekana kwenye picha, pana garden nzuri iliyotengenezwa kwenye miinuko ya Bunju A, 1.2km toka Bagamoyo road, njia ya kuingia DogoDogo Centre, ikipata upepo baridiii unaotokea bahari ya Hindi. 
Ni mazingira ya kiutu-uzima na...

 

10 years ago

Michuzi

DJ JERRY KOTTO NDANI YA KIOTA CHA HISAJE PARK BOKO JIJINI DAR

 Dj Jerry Kotto akipata picha na kamera ya Vijimambo ndani ya kiota cha Hisaje Park kilichopo Boko jijini Dar es Salaam kiota maarufu kwa nyimbo za zamani (old school) kila siku kuanzia Jumanne hadi Jumamosi na hakuna kiingilio.dj Jerry Kotto ni moja kati ya maDj wa miaka mingi hapa nchini.Mitambo ya kisasa ndani ya kiota cha Hisaje Park Karibuni.

 

10 years ago

Vijimambo

DJ JERRY KOTTO NDANI YA KIOTA CHA HISAJE PARK BOKO JIJINI DAR ES SALAAM

 Dj Jerry Kotto dj wako wa miaka mingi akipata picha na kamera ya Vijimambo ndani ya kiota cha Hisaje Park kilichopo Boko jijini Dar es Salaam kiota maarufu kwa nyimbo za zamani (old school) kila siku kuanzia Jumanne hadi Jumamosi na hakuna kiingilio.Mitambo ya kisasa ndani ya kiota cha Hisaje Park Karibuni.

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE JIJINI DAR

 Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla hiyo ilikwenda sambamba na kuadhimisha miaka 16 ya msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature,katika tamasha lililoitwa  KOMAA CONCERT,ambalo lilifanyika ndani ya kiota cha maraha cha Dar Live,Mbagala jijini Dar mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki na wapenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA TAIFA CHA UTALII WAZINDUA KIOTA CHA BURUDANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Taifa cha utalii, Rosada Musoma akizindua kwa kukata utepe kiota cha burudani cha Goldbar and Restaurant katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi kitengo cha Biashara wa chuo cha Taifa cha Utalii (NCT),Neema Chololo Kusiga akizungumza mara baada ya uzinduzi wa kiota cha burudani cha Goldbar and Restaurant kilichopo katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.    Mkurugenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani