Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyumba 800 nafuu kujengwa Dar, Moro

Kampuni ya Nyumba za Watumishi (WHC), imeanza ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa makazi kwa watumishi wa umma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai atembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kigamboni

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba ncini Tanzania Mhe. Nehemia Mchechu (wakwanza kushoto), watatu kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai Mhe. Ali Rashid Ahmed Lootah, wapili kutoka kulia ni Bwa. Issack Peter, na wakwanza kutoka kulia ni Balozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga, watembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu za Kigamboni zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mapema leo asubuhi jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA

New Picture (7)Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Vangimembe Lukuvi akikata utepe kuzindua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Mjini Kahama. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Bw. Felix MaagiNew Picture (2)Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi(aliyevaa miwani) akiweka jiwe la msingi katika nyumba zilizojengwa na NHC Wilayani Kahama mkoani Shinyanga.1Hizi ni miongoni mwa nyumba 50 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC katika mtaa wa...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA‏

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Vangimembe Lukuvi akikata utepe kuzindua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Mjini Kahama. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Bw. Felix Maagi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi(aliyevaa miwani) akiweka jiwe la msingi katika nyumba zilizojengwa na NHC Wilayani… ...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

JK azindua nyumba za gharama nafuu


NA SOPHIA WAKATI, MKINGA
RAIS Jakaya Kikwete amefungua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu wilayani Mkinga ujenzi ambao umegharimu sh. bilioni 1.4 hadi kukamilika.
Kikwete alifungua mradi huo juzi katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.
Rais alipongeza jitihada za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanikisha mradi huo huku akiitaka halmashauri ya wilaya hiyo kufanya nalo mawasiliano ili kupata nyumba zitakazowezesha watumishi wake kupata makazi.
Alisema iwapo halmashauri itafanyia kazi...

 

9 years ago

Mwananchi

Lukuvi: Tunataka nyumba nafuu za ukweli

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuandaa mpango wa haraka wa mradi wa kujenga nyumba za gharama nafuu utakaokuwa na ukweli wa unafuu huo

 

9 years ago

Habarileo

Serikali zatakiwa kujenga nyumba nafuu

SERIKALI za nchi za Afrika zimeshauriwa kuja na mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu, zitakazowanufaisha wananchi wake badala ya kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kifahari.

 

10 years ago

Habarileo

JK aagiza NHC wajenge nyumba za bei nafuu

RAIS Jakaya Kikwete ametaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kuangalia uwezekano wa kujenga nyumba za gharama nafuu zaidi, ili kuwezesha hata wenye kipato cha chini kukopa na kuishi kwenye makazi bora.

 

10 years ago

Mwananchi

Ninaposhindwa kuelewa maana ya nyumba za bei nafuu

>Kama kuna msamiati mgumu kwangu, ni huu ninaousikia na kuusoma mara kwa mara kuwa kuna nyumba za bei nafuu hapa nchini.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA BEI NAFUU MKINGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa( National Housing) huko Wilayani Mkinga,Mkoa wa Tanga jana.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Cha Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing) Bi.Susan Omari(kushoto) akitoa maelezo na kisha kukabidhi kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mashine za kutengeneza matofali aina ya Hydraform...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani