Obama amzoma mwanaharakati White House
Rais Barack Obama alilazimika kumzima mwanaharakati aliyekatiza hotuba yake katika dhifa aliloandaa katika ikulu ya White House
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS OBAMA AFUTURISHA WHITE HOUSE
Waislam wapata nafasi ya kufuturu na rais Obama baada ya kuandaa Iftar dinner White House siku ya jumatatu.
President Obama hosted an Iftar dinner celebrating Ramadan at the White House on Monday. He put at his table two Somali women from Minnesota: Kadra Mohamed (sitting fourth from Obama's left) and Munira Khalif (sitting third from Obama's right).
Kadra is St. Paul's first female Somali police officer, and Munira was accepted to all 8 Ivy League universities and campaigns for girls' education.
President Obama hosted an Iftar dinner celebrating Ramadan at the White House on Monday. He put at his table two Somali women from Minnesota: Kadra Mohamed (sitting fourth from Obama's left) and Munira Khalif (sitting third from Obama's right).
Kadra is St. Paul's first female Somali police officer, and Munira was accepted to all 8 Ivy League universities and campaigns for girls' education.
10 years ago
Vijimambo12 Dec
10 years ago
Vijimambo15 Oct
RAIS OBAMA AKUTANA NA WAFANYAKAZI KITENGO CHA AFYA WHITE HOUSE
Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama siku ya Jumanne Oct 14, 2014 alikutana na CDC (Centers for Disease Control and Prevention (CDC), the +U.S. Department of Health and Human Services, and his national security ) kwa ajili ya kupata taarifa ya ugonjwa wa Ebola
11 years ago
MichuziSIKU OBAMA NA MKEWE WALIPOPATA TASWIRA NA VIONGOZI WA AFRIKA WHITE HOUSE
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais Barack Obama na mkewe Michelle Obama katika picha ya kumbukumbu katika Ikulu ya nchi hiyo (White House) wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Viongozi wa nchi za Afrika aliowaalika katika mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi za Afrika jijini Washington DC wiki iliyoipita. Rais Obama na mkewe walipiga picha na kila kiongozi aliyehudhuria. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
9 years ago
Bongo514 Sep
Rais Obama abandika picha aliyopiga na Sauti Sol wakicheza ‘Sura Yako’ kwenye ukuta wa White House
Mafanikio kwa bendi ya Sauti Sol ya Kenya yanazidi kuonekana siku hadi siku. Kwa mujibu wa Sauti Sol, Rais Obama amebandika picha aliyopiga na bendi hiyo wakicheza hit song yao ‘Sura Yako’, kwenye ukuta wa White House ya Marekani. Picha hiyo ilipigwa wakati wa ziara ya Obama nchini Kenya miezi miwili iliyopita ambapo Sauti Sol […]
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Omar Gonzalez White House
Omar Gonzales aruka ukuta wa Ikulu ya Marekani na kukamatwa mkononi akiwa na kisu.
10 years ago
BBC10 years ago
Habarileo12 Jul
Ulinzi imara jengo la ‘White House’
HALI ya ulinzi katika Jengo la Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) maarufu White House, jana ilikuwa ya kutisha wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC).
11 years ago
BBCSwahili30 May
White House yashutumu silaha za Urusi
Ikulu ya White House imeeleza masikitiko, wapiganaji waasi wanaoungwa mkono na Urusi Mashariki mwa Ukraine kutumia silaha nzito.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania