Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS OBAMA AFUTURISHA WHITE HOUSE

Waislam wapata nafasi ya kufuturu na rais Obama baada ya kuandaa Iftar dinner White House siku ya jumatatu.
President Obama hosted an Iftar dinner celebrating Ramadan at the White House on Monday. He put at his table two Somali women from Minnesota: Kadra Mohamed (sitting fourth from Obama's left) and Munira Khalif (sitting third from Obama's right).
Kadra is St. Paul's first female Somali police officer, and Munira was accepted to all 8 Ivy League universities and campaigns for girls' education.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS OBAMA AKUTANA NA WAFANYAKAZI KITENGO CHA AFYA WHITE HOUSE

Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama siku ya Jumanne Oct 14, 2014 alikutana na CDC (Centers for Disease Control and Prevention (CDC), the +U.S. Department of Health and Human Services, and his national security ) kwa ajili ya kupata taarifa ya ugonjwa wa Ebola

 

9 years ago

Bongo5

Rais Obama abandika picha aliyopiga na Sauti Sol wakicheza ‘Sura Yako’ kwenye ukuta wa White House

Mafanikio kwa bendi ya Sauti Sol ya Kenya yanazidi kuonekana siku hadi siku. Kwa mujibu wa Sauti Sol, Rais Obama amebandika picha aliyopiga na bendi hiyo wakicheza hit song yao ‘Sura Yako’, kwenye ukuta wa White House ya Marekani. Picha hiyo ilipigwa wakati wa ziara ya Obama nchini Kenya miezi miwili iliyopita ambapo Sauti Sol […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama amzoma mwanaharakati White House

Rais Barack Obama alilazimika kumzima mwanaharakati aliyekatiza hotuba yake katika dhifa aliloandaa katika ikulu ya White House

 

11 years ago

Michuzi

SIKU OBAMA NA MKEWE WALIPOPATA TASWIRA NA VIONGOZI WA AFRIKA WHITE HOUSE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais Barack Obama na mkewe Michelle Obama katika picha ya kumbukumbu katika Ikulu ya nchi hiyo (White House) wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Viongozi wa nchi za Afrika aliowaalika katika mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi za Afrika jijini Washington DC wiki iliyoipita. Rais Obama na mkewe walipiga picha na kila kiongozi aliyehudhuria. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

BBCSwahili

Omar Gonzalez White House

Omar Gonzales aruka ukuta wa Ikulu ya Marekani na kukamatwa mkononi akiwa na kisu.

 

10 years ago

BBC

Ebola robots on White House agenda

Deploying machines to help medical teams tackle the outbreak

 

10 years ago

Habarileo

Ulinzi imara jengo la ‘White House’

HALI ya ulinzi katika Jengo la Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) maarufu White House, jana ilikuwa ya kutisha wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC).

 

11 years ago

BBCSwahili

White House yashutumu silaha za Urusi

Ikulu ya White House imeeleza masikitiko, wapiganaji waasi wanaoungwa mkono na Urusi Mashariki mwa Ukraine kutumia silaha nzito.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani