Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU OBAMA NA MKEWE WALIPOPATA TASWIRA NA VIONGOZI WA AFRIKA WHITE HOUSE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais Barack Obama na mkewe Michelle Obama katika picha ya kumbukumbu katika Ikulu ya nchi hiyo (White House) wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Viongozi wa nchi za Afrika aliowaalika katika mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi za Afrika jijini Washington DC wiki iliyoipita. Rais Obama na mkewe walipiga picha na kila kiongozi aliyehudhuria. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Obama amzoma mwanaharakati White House

Rais Barack Obama alilazimika kumzima mwanaharakati aliyekatiza hotuba yake katika dhifa aliloandaa katika ikulu ya White House

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS OBAMA AFUTURISHA WHITE HOUSE

Waislam wapata nafasi ya kufuturu na rais Obama baada ya kuandaa Iftar dinner White House siku ya jumatatu.
President Obama hosted an Iftar dinner celebrating Ramadan at the White House on Monday. He put at his table two Somali women from Minnesota: Kadra Mohamed (sitting fourth from Obama's left) and Munira Khalif (sitting third from Obama's right).
Kadra is St. Paul's first female Somali police officer, and Munira was accepted to all 8 Ivy League universities and campaigns for girls' education.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS OBAMA AKUTANA NA WAFANYAKAZI KITENGO CHA AFYA WHITE HOUSE

Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama siku ya Jumanne Oct 14, 2014 alikutana na CDC (Centers for Disease Control and Prevention (CDC), the +U.S. Department of Health and Human Services, and his national security ) kwa ajili ya kupata taarifa ya ugonjwa wa Ebola

 

9 years ago

Bongo5

Rais Obama abandika picha aliyopiga na Sauti Sol wakicheza ‘Sura Yako’ kwenye ukuta wa White House

Mafanikio kwa bendi ya Sauti Sol ya Kenya yanazidi kuonekana siku hadi siku. Kwa mujibu wa Sauti Sol, Rais Obama amebandika picha aliyopiga na bendi hiyo wakicheza hit song yao ‘Sura Yako’, kwenye ukuta wa White House ya Marekani. Picha hiyo ilipigwa wakati wa ziara ya Obama nchini Kenya miezi miwili iliyopita ambapo Sauti Sol […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama awaonya viongozi wa Afrika

Rais wa Marekani Barrack Obama,amewasuta viongozi wa Afrika ambao wanaendelea kusalia madarakani hata baada ya katiba kutowaruhusu kuendelea kuwania tena wadhfa wa urais.

 

9 years ago

Michuzi

MHE. BALOZI WILSON M. MASILINGI AKUTANA NA BI. CATHY BYRNE, MKURUGENZI MWANDAMIZI WA MASUALA YA AFRIKA, IKULU YA MAREKANI (WHITE HOUSE) TAREHE 30 NOVEMBA 2015

Mhe. Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, akifuatana na Bw. Paul Mwafongo alihudhuria mkutano na Bw. Louis Rene Peter Larose, Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Dunia, Kundi la Nchi za Afrika. Wengine waliohudhuria ni pamoja na Bw. Andrew Ndaamunhu Bvumbe, Mkurugenzi Mtendaji Mbadala Benki ya Dunia, Kanda ya Afrika, na Bw. WilsonToninga Banda, Mshauri, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji. Shabaha ya Mkutano ilikuwa ni kufuatilia mazungumzo yaliyofanyika Lima,...

 

11 years ago

Michuzi

Taswira za Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya afrika mashariki jijini Arusha

 Wakuu wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakizindua kitabu rasmi cha Muongozo wa Majaji wa Jumuiya hiyo kwenye Mkutano wa 12 wa siku moja wa Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Arusha.  Rais Uhuru Kenyata wa Kenya ambae ndie Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni pamoja na Mwenyeji wa Mkutano huo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Wengine ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Burundi Bwana Bazombasa, Makamu wa Pili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani