Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama asema huwa hapaki nywele zake rangi

Rais wa Marekani Barack Obama amesema yeye huwa hapaki rangi nyele zake kuficha mvi kama viongozi wengine duniani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watu wasio na rangi ya ngozi, macho na nywele

MEI 4 mwaka huu ilikuwa ni Siku ya Albino Duniani. Ni siku tunayotumia kuendeleza kuhamasisha juu ya kuelewa zaidi kuwepo kwa wenzetu wasio na rangi ya ngozi, macho na nywele...

 

10 years ago

Mwananchi

Obama ameshindwa kuondoa ubaguzi wa rangi Marekani

Waingereza wanao msemo na tafsiri yake isiyo rasmi ni kuwa: ‚Watu wanaoishi katika nyumba za vioo inawabidi wasirushe mawe.‘ Ina maana kwamba watu wachukue tahadhari, si kupurukuka tu kulaumu vitendo vya watu wengine ambavyo wao wenyewe wanavifanya. Kufanya hivyo ni unafiki.

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO YA KUPINGA UBAGUZI WA RANGI NCHINI MAREKANI, SABABU NA HATARI ZAKE

Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani, sababu na hatari zakeMarekani imetumbukia tena katika machafuko makubwa kutokana na malalamiko ya wananchi wanaopinga mauaji yaliyofanywa na polisi wa nchi hiyo dhidi ya raia mweusi.Katika kipindi cha siku nne zilizopita miji mbalimbali ya Marekani kuanzia Minneapolis hadi New York, Atlanta mpaka Houston na Milwaukee hadi Los Angeles imekumbwa na maandamano na ghasia kubwa baina ya raia wanaoandamana, na polisi. Watu kadhaa wamejeruhiwa katika baadhi ya machafuko hayo na kunashuhudiwa ghasia na hata oporaji wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Black Lives Matter: 'Hatua zinapaswa kuchukuliwa kupambana na ubaguzi wa rangi' asema Borris Johnson

Waziri Mkuu wa Uingereza Borris Johnson kuunda tume ya kupambana na ubaguzi wa rangi

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama asema 10,000 kubakia Afghanistan

Rais Barack Obama ametangaza kuwa Marekani itaendelea kuwa na wanajeshi 10,000 nchini Afghanistan baada ya mwisho wa mwaka 2014.

 

9 years ago

BBCSwahili

Murdoch asema Obama si ‘rais mweusi kamili’

Rupert Murdoch ameandika ujumbe kwenye Twitter akidokeza kwamba Rais Barack Obama si "rais mweusi kamili”.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Obama asema uongozi wa Trump umefeli kukabiliana na ugonjwa huo

Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama kwa mara nyingine tena amemkosoa mrithi wake Donald Trump anavyoshughulikia janga la virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Obama asema hatua zilizochukuliwa na Trump ni kama 'janga la machafuko'

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obam amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa namna anavyoshughulikia janga la corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani