Obama ataka wachunguzi kutumwa Ukraine
Rais Obama ametangaza mapendekezo ambayo huenda yakatoa suluhu kwa mzozo wa Ukraine, ikiwemo kuwatuma wachunguzi wa kimataifa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
Wachunguzi waanza kazi Ukraine
Wachunguzi wa kimataifa wako katika eneo la mkasa wa ndege ya Malaysia, Ukraine baada ya baraza la usalama la UN kupitisha azimio.
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Putin na Obama wazungumzia Ukraine
Rais wa Urusi Vladimir Putin na Barack Obama wa Marekani wamefanya mazungumzo kuhusu mzozo wa Ukraine.
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Obama amualika Waziri Mkuu wa Ukraine
Rais Obama amemualika waziri mkuu wa Ukraine Arseniy Yatsenyuk mjini Washington kujadiliana kuhusu mzozo unaokumba taifa lake
11 years ago
BBCSwahili07 Mar
Obama awasiliana na Putin kuhusu Ukraine
Rais Obama ametoa mapendekezo ya ya kusuluhisha mgogoro wa Ukraine kwa njia ya kidiplomasia ikiwemo Urusi kuwaondoa wanajeshi wake.
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Obama aionya Urusi kuhusu Ukraine
Rais Barak Obama ameionya Urusi kutoingilia mgogoro wa Ukraine, hususan jimbo la Crimea
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Merkel kukutana na Obama kuhusu Ukraine
Kiongozi wa Ujerumani kukutana na rais Obama kujadiliana kuhusu kuwepo kwa amani Ukraine
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Obama na Putni washauriana vita Ukraine
Rais Obama amefanya mashauriano na Rais Putin, juu ya hali ilivyo Ukraine baada ya kusitishwa mapigano.
11 years ago
BBCSwahili01 May
Putin ataka Ukraine kuonda majeshi
Rais wa Urusi, Vladmir Putin, ametoa wito kwa Ukraine iyaondoe majeshi yake Kusini Mashariki mwa taifa hilo.
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Barack Obama ataka amani Nigeria
Raisi Barack Obama ametoa mwito kwa wa Nigeria kusitisha vurugu kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi hiyo mapema mwishoni mwa wiki hii.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania