Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachunguzi waanza kazi Ukraine

Wachunguzi wa kimataifa wako katika eneo la mkasa wa ndege ya Malaysia, Ukraine baada ya baraza la usalama la UN kupitisha azimio.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Obama ataka wachunguzi kutumwa Ukraine

Rais Obama ametangaza mapendekezo ambayo huenda yakatoa suluhu kwa mzozo wa Ukraine, ikiwemo kuwatuma wachunguzi wa kimataifa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi waanza kuondoka Ukraine

Jenerali wa jeshi kutoka aliyehusika katika kutekelezwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano amesema waasi wameanza kuondoka

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza kazi Jangwani leo

Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa, ambaye leo atazindua kampeni zake kwenye viwanja vya Jangwani, jana aliamua kufunguka dhidi ya vitendo vya Jeshi la Polisi kupiga wananchi, akisema havikubaliki kwa kuwa vifaa vinavyotumika vinanunuliwa na kodi wanazokatwa.

 

11 years ago

GPL

MKWASA, PONDAMALI WAANZA KAZI RASMI YANGA

Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa akiwaongoza wachezaji wake katika mazoezi leo. Yanga wakiendelea na mazoezi chini ya Mkwasa katika Uwanja wa Bora uliopo Mabatini-Kijitonyama jijini Dar…

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MZANI WA KISASA WA VIGWAZA WAANZA KAZI RASMI

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Eng. Patrick Mfugale ametangaza kuanza rasmi kwa majaribio ya kupima magari kwenye Mzani wa Kisasa wa Vigwaza mkoani Pwani ambapo majaribio hayo yataendelea hadi siku ya tarehe 17/03/2015. Kwa mujibu wa Eng. Mfugale, mara baada ya majaribio kukamilika siku hiyo kituo cha Mzani wa Kibaha katafungwa rasmi na magari yataendelea kupimwa kwenye kituo kipya cha Vigwaza ambacho kina uwezo wa kupima gari moja likiwa linatembea kwa muda usiozidi...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI

Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), Simon Jilima (katikati) akielezea maendeleo ya mradi wa Kinyerezi I kwa Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene (wapili kulia) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo anaeshughulikia Nishati, Charles Mwijage (kulia), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Ngosi Mwihava (kushoto) walipotembelea mradi huo jana baada ya kuanza kazi.Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Dk. James Mataragio...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba waanza kulegeza kamba, kazi kwa Mo kuweka mzigo mezani

moi2

Pichani ni Mohammed Dewji  alipokuwa mgeni rasmi wa tamasha la Simba Day, akisalimiana na mmoja wa wadau kwenye jukwaa kuuna kulia ni Nyange Kaburu.  (Pichana Maktaba yetu).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Lile dili la mfanyabiashara mkubwa nchini, Mohamed Dewji kununua hisa katika klabu ya Simba SC linaonekana kuiva baada ya makamu wa rais wa Simba kuzungumzia dili hilo kuwa ni jambo nzuri la linafaida katika soka la sasa.

Akizungumza katika kipindi cha E Sport kinachorushwa na E Fm,...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI KWA KUTEMBELEA MRADI WA UMEME WA KINYEREZI

Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima (katikati) akielezea maendeleo ya mradi wa Kinyerezi I. Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage na Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene. Kushoto kabisa ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava.Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage (kulia) akitoa maelekezo kwa wataalamu wanaosimamia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani