Waasi waanza kuondoka Ukraine
Jenerali wa jeshi kutoka aliyehusika katika kutekelezwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano amesema waasi wameanza kuondoka
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Waasi wachelewa kuondoka kambi Syria
Maelfu ya waasi waliotarajiwa kusaidiwa kuondoka kutoka kambi ya wakimbizi ya Yarmouk na maeneo ya karibu wameshindwa kuondoka kama ilivyotarajiwa.
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
'Hatujatoroka', wasema waasi wa Ukraine
Wapiganaji wanaounga mkono Urusi Mashariki mwa Ukraine wamepinga ripoti kwamba wameitoroka ngome yao kuu ya mji wa Slovianski.
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Kiongozi wa waasi ashambuliwa Ukraine
Mwanasiasa anayetambulika kama muasi mkuu nchini Ukraine yuko katika hali mahututi hospitalini baada ya watu waliokuwa wamejihami kumpiga risasi akiwa ndani ya gari lake.
10 years ago
BBCSwahili20 Sep
Serikali ya Ukraine na waasi waafikiana
Rais wa Zamani wa Ukraine amesema kuwa mpango wa amani umeafikiwa katika mazungumzo yanayolenga kusitisha vita huko Ukraine.
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Ukraine:Waasi wadaiwa kukiuka mkataba
Serikali ya Ukraine inasema kuwa waasi wanaungwa mkono na Urusi wamekiuka pakubwa muafaka wa amani mara 20 zaidi.
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
Wachunguzi waanza kazi Ukraine
Wachunguzi wa kimataifa wako katika eneo la mkasa wa ndege ya Malaysia, Ukraine baada ya baraza la usalama la UN kupitisha azimio.
10 years ago
BBCSwahili24 May
11 years ago
BBCSwahili13 May
Ferdinand kuondoka Old Trafford
Mlinzi wa Manchester United Rio Ferdinand amesema ataondoka Old trafford msimu ujao.
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Watalii wa Uingereza kuondoka Tunisia
Maelfu ya watalii wanajiandaa kuondoka nchini Tunisia kufuatia onyo kutoka kwa serikali ya Uingereza kwamba huenda kukatokea shambulio jingine la kigaidi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania