Obama: mabadiliko ya hewa hayakanushiki
Kabla ya mkutano wa viongozi kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa Disemba, Obama ajaribu kubadilisha sera Marekani
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Mar
'Badilikeni kukabili mabadiliko ya hali ya hewa'
VIJANA nchini wametakiwa kubadilika na kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa katika kizazi hiki ili kizazi kinachokuja waweze kufaidi dunia yenye mazingira bora.
11 years ago
Habarileo31 Jul
‘Mvua zinazonyesha ni mabadiliko ya hali ya hewa’
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua zilizonyesha kuanzia alfajiri ya jana zinatokana na mabadiliko ya hali ya hewa baharini na zinatarajia kuendelea leo katika maeneo yote ya pwani.
10 years ago
Habarileo02 Apr
Mabadiliko ya hali ya hewa changamoto kwa TMA
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi amesema mabadiliko ya mifumo ya hali ya hewa ambayo yanatokana na mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa changamoto kubwa kwa wataalamu wa hali ya hewa nchini.
5 years ago
MichuziDkt.Kijazi:Ongezeko la joto duniani,limesababisha mabadiliko ya hali ya hewa
Na Karama Kenyunko,Michuzi Globu.
Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi
KILA ifikapo Machi 23 kila mwaka,dunia mzima huadhimisha siku ya hali ya hewa duniani. Ni siku ambayo Mkataba wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ulisainiwa mwaka 1950. Kwa kawaida siku hii huadhimishwa na kila nchi mwanachama wa shirika hilo.
Taasisi za Hali ya Hewa, zikiwa ni Mamlaka zilizopewa jukumu la kutoa na kusimamia huduma za hali ya hewa katika nchi wanachama wa WMO,hutumia siku hii kuonesha na kueleza...
10 years ago
MichuziTMA YAWAHAMASISHA WANASAYANSI WA KITANZANIA KUJIKITA KATIKA TAFITI ZA MABADILIKO YA HALI YA HEWA
Warsha hiyo ilifunguliwa na Mhandisi James Ngeleja ambaye alimwakilisha mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Bw. Morisson Mlaki...
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Obama kutangaza mabadiliko ya uhamiaji
9 years ago
VijimamboMAMLAKA YA HALIYA HEWA YAANZA KUTOA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI DODOMA
Wanafunzi wa Shule maalumu ya vipaji ya wasichana ya Msalato mjini Dodoma wakifuatilia jambo kwa makini wakati Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi ya hali ya hewa Nchini Dkt, Ladislaus Chang'a alipokuwa akitoa mada kuhusu...
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
VijimamboMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI