Obama: Nitakabiliana na ukosefu wa usawa
Rais Barrack Obama amesema atachukuwa hatua, hata bila idhini ya bunge la Congress kukabiliana na ukosefu wa usawa Marekani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Jul
Unamfahamu dadake rais Obama,Auma Obama?
Je ulimwona rais Obama akimkumbatia mwanamke aliyekuwa mwisho kabisa katika foleni ya wale waliomkaribisha Kenya ijumaa usiku
10 years ago
Bongo528 Jul
Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’
Ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama umeacha historia ya mambo mengi kwa wananchi wa Kenya. Baadhi ya wazazi wa watoto waliozaliwa siku ambayo Obama alitua nchini Kenya Ijumaa ya July 24, wamewapa watoto wao majina yanayohusiana na Rais huyo. Mzazi mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume siku hiyo aliamua kumpa mtoto wake jina la Rais […]
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Tz:usawa wa maarifa shuleni
Matumizi ya vitabu yenye maudhui tofauti katika darasa moja katika shule, Je kuna usawa wa maarifa?
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Mjadala wa usawa wa jinsia
BBC iliendesha mjadala wa Global Questions Nairobi ambapo Waafrika wa kawaida walihusika kuuliza jopo la wataalam jinsi wanawake wanaweza kushiriki kikamilifu kushawishi maamuzi na kubadili hali ya baadaye ya bara Afrika.
11 years ago
BBCSwahili05 Jan
Mjadala wa Usawa wa Kijinsia
Mjadala huu uliangazia usawa wa kijinsia katika mfumo wa serikali za ugatuzi.
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Mjadala kuhusu usawa wa jinsia
Usawa wa jinsia na kuwezesha wanawake yamekuwa masuala makuu barani Afrika, lakini kumekuwa na hisia tofauti kuhusu juhudi za wanawake kupigania usawa.
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Pengo la usawa wa kijinsia lapungua
Pengo lililopo kati ya wanaume na wanawake linaendelea kuzibika katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni,
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Usawa wa matumizi ya mtandao kuangaziwa
Mwenyekiti wa shirika linalopigania haki ya mawasiliano nchini Marekani FCC amesema anapendekeza mikakati ya ulinzi wa mitandao
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Umehakikishiwa usawa kiasi gani?
Kwa kutumia kikokotozi hiki cha BBC, unaweza kujua hali ya pengo la usawa wa jinsia nchini mwako, na pale ulipo ukijilinganisha na wengine.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania