Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ochu Sheggy aachia Kingereza ndani ya MTIKO

11037650_544978598938698_4769049151111350587_o

 

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ochu Sheggy (pichani), ameachia single unayofahamika kama ‘Kingereza’ unaweza kuisikiliza Kupitia Mtiko kwa kubofya link hii

Au isikilize hapa chini.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

11 years ago

Tanzania Daima

Witness, Ochu Sheggy kuwanoa wasanii

RAPA Witness Mwinongi pamoja na mpenzi wake Ochu Sheggy, wanatarajiwa kuendesha semina ya wiki moja kwa ajili ya kuwafunza wasanii wa Bongo maadili na jinsi msanii anavyotakiwa kuishi. Akizungumza jijini...

 

11 years ago

Michuzi

Introducing "Think about it" by Witnesz Feat. Ochu Sheggy

10376459_10203551940270317_716031196_o Kuwa wa kwanza kusikiliza Single mpya ya Msanii Witnesz aliyemshirikisha Ochu Sheggy "THINK ABOUT IT" hapa chini.

 

11 years ago

Dewji Blog

NEW AUDIO: Witnesz Feat. Ochu Sheggy — Think about it

10376459_10203551940270317_716031196_o

Kuwa wa kwanza kusikiliza Single mpya ya Msanii Witnesz aliyemshirikisha Ochu Sheggy “THINK ABOUT IT” hapa chini.

 

11 years ago

CloudsFM

WITNESS NA OCHU WAANDAA SHINDANO LA KUNYANYUA VIPAJI

Msanii wa Hip Hop,Witness na mpenzi wake aitwaye Ochu Sheggy kwa pamoja wanajiita OCHUNESS wanaendeleza harakati za kuinua vipaji vya kuimba, kwa kuandaa shindano, na mshindi atapata fursa ya kurekodi audio bure r&b, reggae, gospel, hiphop, zouk.

 

10 years ago

GPL

WANAMUZIKI WITNESS NA OCHU WAFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Witness Mwijage (kushoto), akiwa katika pozi na mchumba wake Ochu Sheggy , muda mfupi baada ya kuwasili katika studio za Global TV Online, Bamaga-Mwenge jijini Dar. Ochu (kulia), akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. Witness akijibu moja ya…

 

10 years ago

Mwananchi

Muhongo aachia ngazi

Dakika 50 zilimtosha Profesa Sospeter Muhongo kujieleza kwa urefu wakati akitangaza uamuzi wake wa kujiuzulu uwaziri wa Nishati na Madini akisema “anataka nchi isonge mbele” baada ya kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani