Witness, Ochu Sheggy kuwanoa wasanii
RAPA Witness Mwinongi pamoja na mpenzi wake Ochu Sheggy, wanatarajiwa kuendesha semina ya wiki moja kwa ajili ya kuwafunza wasanii wa Bongo maadili na jinsi msanii anavyotakiwa kuishi. Akizungumza jijini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi16 May
Introducing "Think about it" by Witnesz Feat. Ochu Sheggy
![10376459_10203551940270317_716031196_o](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/10376459_10203551940270317_716031196_o.jpg)
11 years ago
Dewji Blog15 May
NEW AUDIO: Witnesz Feat. Ochu Sheggy — Think about it
Kuwa wa kwanza kusikiliza Single mpya ya Msanii Witnesz aliyemshirikisha Ochu Sheggy “THINK ABOUT IT” hapa chini.
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
11 years ago
Michuzi27 Jul
10 years ago
Dewji Blog01 Mar
Ochu Sheggy aachia Kingereza ndani ya MTIKO
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ochu Sheggy (pichani), ameachia single unayofahamika kama ‘Kingereza’ unaweza kuisikiliza Kupitia Mtiko kwa kubofya link hii
Au isikilize hapa chini.
11 years ago
CloudsFM08 Jul
WITNESS NA OCHU WAANDAA SHINDANO LA KUNYANYUA VIPAJI
Msanii wa Hip Hop,Witness na mpenzi wake aitwaye Ochu Sheggy kwa pamoja wanajiita OCHUNESS wanaendeleza harakati za kuinua vipaji vya kuimba, kwa kuandaa shindano, na mshindi atapata fursa ya kurekodi audio bure r&b, reggae, gospel, hiphop, zouk.
10 years ago
GPLWANAMUZIKI WITNESS NA OCHU WAFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
CloudsFM29 May
WITNESS NA MPENZI WAKE WAANZISHA SHULE KWA AJILI YA WASANII
Msanii wa zamani wa kundi la Wakilisha Witness pamoja na mpenzi wake ambaye naye ni msanii aitwaye Ochu Sheggy hivi karibuni wameachia audio na video ya ngoma yao mpya iitwayo Think About It, lakini pamoja na kuipromote ngoma hiyo wasanii hao wameanzisha shule kwa ajili ya wasanii ‘under grounds’,inaitwa ochuness all you need to know in this music business.
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Cuba kuwanoa askari Zimamoto
SERIKALI ya Cuba kupitia kitengo cha Zimamoto imesema ipo tayari kuendeleza ushirikiano na Tanzania kwa kutoa mafunzo maalumu kwa askari wa Zimamoto nchini ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza katika matukio...