WITNESS NA OCHU WAANDAA SHINDANO LA KUNYANYUA VIPAJI
Msanii wa Hip Hop,Witness na mpenzi wake aitwaye Ochu Sheggy kwa pamoja wanajiita OCHUNESS wanaendeleza harakati za kuinua vipaji vya kuimba, kwa kuandaa shindano, na mshindi atapata fursa ya kurekodi audio bure r&b, reggae, gospel, hiphop, zouk.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Witness, Ochu Sheggy kuwanoa wasanii
RAPA Witness Mwinongi pamoja na mpenzi wake Ochu Sheggy, wanatarajiwa kuendesha semina ya wiki moja kwa ajili ya kuwafunza wasanii wa Bongo maadili na jinsi msanii anavyotakiwa kuishi. Akizungumza jijini...
10 years ago
GPLWANAMUZIKI WITNESS NA OCHU WAFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Witness Mwijage (kushoto), akiwa katika pozi na mchumba wake Ochu Sheggy , muda mfupi baada ya kuwasili katika studio za Global TV Online, Bamaga-Mwenge jijini Dar. Ochu (kulia), akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. Witness akijibu moja ya…
10 years ago
GPLSHINDANO LA VIPAJI LA TMT KUHAMIA ARUSHA KESHO
Majaji wakitoa neno kwa washiriki (hawapo pichani). Tano bora ya washiriki kabla ya kuchujwa na kubakiwa watatu walioondoka na laki tano kila mmoja. Mmoja wa washiriki kutoka Mwanza akisubiri majibu kama atakuwa mshindi. LILE shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT), leo lilifika…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/949x2JmyntHBD96s0mwwJKa*gZY2WVUVEuHDuPRe6aw-bSh6Z*ppdymkuW8BPVCMm4JlFh5*cmqldVCNgmeKUPSM277Jsd9o/IMG20150530WA0001.jpg?width=650)
5 years ago
MichuziUBALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA WAZUNGUMZIA SIKU YA KIMATAIFA YA MCHEZO WA YOGA ULIMWENGUNI KOTE, WAANDAA SHINDANO MAALUMU KUELEKEA JUNI 21,2020
10 years ago
GPLSHINDANO LA KUSAKA VIPAJI LA TMT JIJINI DAR LAZIDI KUNOGA
Baadhi ya washiriki wa shindano la (TMT)wakijadili Script waliyopewa .
Baadhi ya wahudumu wa shindano wakiwa katika meza wakati wa usaili unaoendelea.
Jaji wa shindano hilo la TMT, Haji Salum 'Mboto' akifanya mahojiano na mshiriki wa shindano baada ya kutoka katika chumba maalum cha usaili hatua ya pili.…
11 years ago
GPLSHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO
Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji. Â Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich). ...
11 years ago
GPLWAKAZI WA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA
Jukwaa la majaji likiwa tayari kwa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo mkoani Mwanza katika Kanda ya Ziwa.  Mafundi mitambo wakiwa tayari kwa kazi.  Kundi la kwanza la vijana waliojitokeza katika usaili wa…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania