Odom apatikana amezirai katika danguro
Aliyekuwa mchezaji wa mpira wa vikapu nchini Marekani Lamar Odom anatibiwa hospitalini baada ya kupatikana amezirai katika danguro mjini Nevada ,kulingana na mamlaka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Mtoto mchanga apatikana katika hori la kanisa
Mtoto mchanga amepatikana ametelekezwa katika hori ndani ya kanisa moja mjini New York Marekani
10 years ago
GPLOFM YAFUMUA DANGURO SHULENI!
Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
Ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ikishirikiana na askari wa ulinzi shirikishi, wamefanikiwa kufumua danguro hatari linaloendesha shughuli zake katika eneo la shule baada ya kumnasa mwanamke aliyedai ni mke wa mtu akifanya uzinzi na njemba ambaye hakujulikana jina lake. Kikosi cha OFM kimkurupusha mke wa mtu aliyekuwa akifanya uzinzi na njemba moja(jina...
10 years ago
GPLOFM YAFUMUA DANGURO MWANZA
Mwandishi Wetu/Mchanganyiko
Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa kuna maeneo jijini Mwanza yanatisha kwa biashara ya ngono, Operesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers hivi karibuni imetua na kufanikiwa kufumua dangaro maarufu. Makahaba hao wakiwa katika mawindo yao ya kila siku. Awali, dawati la OFM lilipokea sms kutoka kwa msomaji wake aliyeomba hifadhi ya jina lake iliyosomeka hivi: “Jamani nyie tunawaaminia kwa...
10 years ago
GPLAIBU ILIYOJE! MUME WA MTU ANASWA NDANI YA DANGURO NA WAANDISHI WETU
Na Waandishi Wetu NI aibu iliyoje! Mwanaume mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni mume wa mtu, amekutwa ndani ya danguro moja lililopo Sinza ya Mapambano jijini Dar ikiwa ni mazingira ya kutatanisha. Njemba huyo akisihi kuachiwa baada ya sakata hilo. Ishu hiyo ilijiri usiku wa manane wa Ijumaa kuelekea Jumamosi ya wiki iliyopita. Awali, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyake… ...
9 years ago
GPLKHLOE ATAKA MTOTO NA LAMAR ODOM
Lamar Odom akiwa na aliyekuwa mkewe Khloe Kardashian. California, Marekani
KWA sasa Khloe Kardashian amesitisha ishu yake ya kufuatilia talaka ya kuachana na mumewe wa ndoa, Lamar Odom na anataka kuhakikisha ndoto zake zinatimia kwa kuzaa naye mara atakapokuwa sawa. Lamar ambaye aliwahi kuwa mcheza kikapu wa NBA, kwa sasa yupo hospitali amelazwa baada ya kupoteza fahamu kwa takriban siku tatu kutokana na kuzidisha matumizi ya...
9 years ago
Bongo519 Oct
Lamar Odom apata fahamu baada ya tatu
Mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani, Lamar Odom amepata fahamu baada ya hivi karibuni kupatikana akitokwa na damu puani na mdomoni na kupoteza fahamu kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya. Taarifa zimedai kuwa Odom alizungumza na kunyoosha kidole akiwa kwenye kitanda chake cha hospitali alikolazwa. […]
9 years ago
Bongo523 Oct
Mashabiki wajitolea kumchangia figo Lamar Odom
Lamar Odom ana mashabiki wa ukweli ambao miongoni mwao wako tayari kuchangia figo zao ili kumwondolea zake zilizoharibika. Watu kadhaa wamewasiliana na mchezaji huyo na mke wake Khloé Kardashian kwenye mitandao ya kijamii wakitaka kusaidia chochote. Wakati huo mmiliki wa danguro ambalo Odom alikutwa akiwa hajitambui kwa kuzidisha madawa ya kulevya anataka alipwe gharama ambazo […]
9 years ago
Bongo528 Oct
Mimi na Lamar Odom hatujarudiana! — Khloe Kardashian
Khloe Kardashian ameibuka na kuweka mambo sawa kuhusu uhusiano wake na Lamar Odom licha ya ripoti kuwa wawili hao wameamua kuipa ndoa yao nafasi nyingine. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la People, Khloe amesema kuwa licha ya kufuta kesi ya kudai talaka kwa mume wake Lamar Odom ambaye ni mgonjwa, lakini haimaanishi kuwa wamerudiana. “Taarifa […]
9 years ago
BBCSwahili17 Oct
Lamar Odom apata fahamu siku 3 baadaye
Mchezaji wa zamani wa mpira wa vikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani Lamar Odom hatimaye amepata fahamu siku tatu baada kuzirai ndani ya danguro katika jimbo la Nevada.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania