Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFM YAFUMUA DANGURO SHULENI!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
Ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ikishirikiana na askari wa ulinzi shirikishi, wamefanikiwa kufumua danguro hatari linaloendesha shughuli zake katika eneo la shule baada ya kumnasa mwanamke aliyedai ni mke wa mtu akifanya uzinzi na njemba ambaye hakujulikana jina lake. Kikosi cha OFM kimkurupusha mke wa mtu aliyekuwa akifanya uzinzi na njemba moja(jina...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OFM YAFUMUA DANGURO MWANZA

Mwandishi Wetu/Mchanganyiko
Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa kuna maeneo jijini Mwanza yanatisha kwa biashara ya ngono, Operesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers hivi karibuni imetua na kufanikiwa kufumua dangaro maarufu. Makahaba hao wakiwa katika mawindo yao ya kila siku. Awali, dawati la OFM lilipokea sms kutoka kwa msomaji wake aliyeomba hifadhi ya jina lake iliyosomeka hivi: “Jamani nyie tunawaaminia kwa...

 

11 years ago

GPL

OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI

Mshuhudie Kamanda hatari wa OFM aliyepania kuibadilisha Tanzania, akiripoti tukio la aina yake ambapo mara hii amemnasa mzungu aliyekuwa na denti wa kidato cha tatu gesti, tena usiku wa manane! Ungana na Global TV Online kupata full stori!

 

11 years ago

Habarileo

Mafuriko yafumua mawasiliano Bara

Daraja la Mkundi linalounganisha barabara kuu ya Morogoro - Dodoma lilivyo kwa sasa baada ya mafuriko kuzoa tuta lake kwa pande zote mbili za kutokea Morogoro na kutokea Dodoma na kusababisha kukatika kwa mawasiliano kati ya mikoa ya Magharibi na Kanda ya Ziwa na nchi jirani za Burundi na Rwanda kwa magari yanayotumia njia ya kati. (Picha na John Nditi).MAFURIKO yaliyotokana na mvua zilizonyesha katika milima ya Kiteto mkoani Manyara, na Kilosa yamesababisha maafa katika Wilaya ya Kilosa na kukata mawasiliano ya barabara kuu ya Morogoro na Dodoma.

 

9 years ago

BBCSwahili

Odom apatikana amezirai katika danguro

Aliyekuwa mchezaji wa mpira wa vikapu nchini Marekani Lamar Odom anatibiwa hospitalini baada ya kupatikana amezirai katika danguro mjini Nevada ,kulingana na mamlaka.

 

10 years ago

GPL

AIBU ILIYOJE! MUME WA MTU ANASWA NDANI YA DANGURO NA WAANDISHI WETU

Na Waandishi Wetu NI aibu iliyoje! Mwanaume mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni mume wa mtu, amekutwa ndani ya danguro moja lililopo Sinza ya Mapambano jijini Dar ikiwa ni mazingira ya kutatanisha. Njemba huyo akisihi kuachiwa baada ya sakata hilo. Ishu hiyo ilijiri usiku wa manane wa Ijumaa kuelekea Jumamosi ya wiki iliyopita. Awali, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyake… ...

 

11 years ago

GPL

OFM YAMNASA!

Stori: Issa Mnally na Dustan Shekidele, Morogoro
OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers si mchezo! Safari hii imenasa tukio la mchumba wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jose kuuza mwili. Za mwizi 40: Mchumba wa mtu baada ya kunaswa na OFM akijiuza licha ya kuaga kuwa anakwenda kwa bibi yake. Tukio hilo lilijiri eneo maarufu la Baa ya Kaumba iliyopo katikati ya mji kwenye Mtaa wa Makongoro, mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

GPL

OFM YAMSHUGHULIKIA WAZIRI WA JK

Stori: Waandishi Wetu/Ijumaa Wikienda
Kaa chonjo! Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), mheshimiwa Kassim Majaliwa amejikuta akitumbukia kwenye kamera za Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers baada ya kuchunguzwa kwa kuingia hotelini akiwa ametanguliwa na mrembo mmoja aliyedaiwa kuwa na ahadi naye, Ijumaa Wikienda lina picha kamili. Gari la mheshimiwa Kassim...

 

10 years ago

GPL

OFM YANASA MABAAMEDI WAKIUZWA!

Chande Abdallah na Deogratius Mongela WAMENASWA! Kitengo maalum cha Oparesheni Fichua Moavu (OFM) cha Global Publishers mwishoni mwa wiki kiliwanasa wahudumu wa baa wakiuzwa kwa wanywaji wanaohitaji huduma ya ngono katika mtego uliofanywa katika baa moja iliyopo Ubungo External, Ilala jijini Dar es Salaam. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1UC9ooV

 

10 years ago

GPL

OFM YANASA MAJINA YA WAGOMBEA...

Waandishi wetu KAZI imeanza! Baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, sasa makamanda wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ imeingia kazini ambapo wiki hii imeweza kuinasa nazi ikiwa na karatasi lenye majina ya waliojitokeza kugombea urais, ubunge na udiwani kwenye uchaguzi mkuu ujao. ....Sopma zaidi===>http://bit.ly/1DynYcG ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani