Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFM YAMSHUGHULIKIA WAZIRI WA JK

Stori: Waandishi Wetu/Ijumaa Wikienda
Kaa chonjo! Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), mheshimiwa Kassim Majaliwa amejikuta akitumbukia kwenye kamera za Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers baada ya kuchunguzwa kwa kuingia hotelini akiwa ametanguliwa na mrembo mmoja aliyedaiwa kuwa na ahadi naye, Ijumaa Wikienda lina picha kamili. Gari la mheshimiwa Kassim...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI

Mshuhudie Kamanda hatari wa OFM aliyepania kuibadilisha Tanzania, akiripoti tukio la aina yake ambapo mara hii amemnasa mzungu aliyekuwa na denti wa kidato cha tatu gesti, tena usiku wa manane! Ungana na Global TV Online kupata full stori!

 

11 years ago

GPL

OFM YAMNASA!

Stori: Issa Mnally na Dustan Shekidele, Morogoro
OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers si mchezo! Safari hii imenasa tukio la mchumba wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jose kuuza mwili. Za mwizi 40: Mchumba wa mtu baada ya kunaswa na OFM akijiuza licha ya kuaga kuwa anakwenda kwa bibi yake. Tukio hilo lilijiri eneo maarufu la Baa ya Kaumba iliyopo katikati ya mji kwenye Mtaa wa Makongoro, mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

GPL

OFM YANASA MAJINA YA WAGOMBEA...

Waandishi wetu KAZI imeanza! Baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, sasa makamanda wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ imeingia kazini ambapo wiki hii imeweza kuinasa nazi ikiwa na karatasi lenye majina ya waliojitokeza kugombea urais, ubunge na udiwani kwenye uchaguzi mkuu ujao. ....Sopma zaidi===>http://bit.ly/1DynYcG ...

 

9 years ago

Global Publishers

Kamanda OFM avamiwa na vibaka

Mwandishi wetu, Moro
Hii si sawa! Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, Mkoa wa Morogoro, Dustan Shekidele amevamiwa na vibaka kisha kuporwa kamera na simu alipokuwa akiwatetea wananchi waliovamiwa na vibaka hao katika Mkesha wa Mwaka Mpya.

Awali kamanda huyo alikuwa kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mji Mpya, alipotoka majira ya saa 6:00 usiku ndipo akapigiwa simu na akina mama waliokuwa wakilalamika...

 

10 years ago

GPL

OFM YAFUMUA DANGURO SHULENI!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
Ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ikishirikiana na askari wa ulinzi shirikishi, wamefanikiwa kufumua danguro hatari linaloendesha shughuli zake katika eneo la shule baada ya kumnasa mwanamke aliyedai ni mke wa mtu akifanya uzinzi na njemba ambaye hakujulikana jina lake. Kikosi cha OFM kimkurupusha mke wa mtu aliyekuwa akifanya uzinzi na njemba moja(jina...

 

10 years ago

GPL

OFM YAFUMUA DANGURO MWANZA

Mwandishi Wetu/Mchanganyiko
Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa kuna maeneo jijini Mwanza yanatisha kwa biashara ya ngono, Operesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers hivi karibuni imetua na kufanikiwa kufumua dangaro maarufu. Makahaba hao wakiwa katika mawindo yao ya kila siku. Awali, dawati la OFM lilipokea sms kutoka kwa msomaji wake aliyeomba hifadhi ya jina lake iliyosomeka hivi: “Jamani nyie tunawaaminia kwa...

 

9 years ago

GPL

OFM YAFICHUA UCHAFU WA KUTISHA

WAandishi Wetu INATISHA! Hivi ndivyo unavyoweza kusema mara tu unapofika katika hospitali ya serikali ya Kijitonyama, iliyopo Sinza Mapambano jijini Dar es Salaam kwani kuna uchafu mwingi unaoenda tofauti kabisa na mazingira yanayostahili katika kituo hicho cha huduma za afya, Risasi Mchanganyiko linakuthibitishia.  .....Soma zaidi===>http://bit.ly/1J2DooD ...

 

10 years ago

GPL

OFM YANASA MABAAMEDI WAKIUZWA!

Chande Abdallah na Deogratius Mongela WAMENASWA! Kitengo maalum cha Oparesheni Fichua Moavu (OFM) cha Global Publishers mwishoni mwa wiki kiliwanasa wahudumu wa baa wakiuzwa kwa wanywaji wanaohitaji huduma ya ngono katika mtego uliofanywa katika baa moja iliyopo Ubungo External, Ilala jijini Dar es Salaam. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1UC9ooV

 

9 years ago

Global Publishers

OFM yabaini Utapeli tiba mbadala

KIGWANGALLA (4)Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na WatotoDk. Hamis Kigwangalla alipotembelea Kituo ya Tiba Asilia ya Fore Plan Clinic kilichopo Ilala -Bungoni, Dar wiki chache zilizopita.

Na Waandishi Wetu

WAKATI idadi ya watu wanaoamini katika tiba ya mitishamba badala ya hospitali ‘Tiba Mbadala’ inayotolewa na kliniki mbalimbali nchini ikizidi kuongezeka, Oparesheni Fichua Maovu ya Global Publishers ‘OFM’ imebaini udanganyifu mkubwa unaofanywa na baadhi ya matabibu katika tiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani