Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFM YANASA MAJINA YA WAGOMBEA...

Waandishi wetu KAZI imeanza! Baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, sasa makamanda wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ imeingia kazini ambapo wiki hii imeweza kuinasa nazi ikiwa na karatasi lenye majina ya waliojitokeza kugombea urais, ubunge na udiwani kwenye uchaguzi mkuu ujao. ....Sopma zaidi===>http://bit.ly/1DynYcG ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OFM YANASA YANASA DAWA ZIKIUZWA KIHOLELA

Ramadhani na Mayasa Mariwata NIhatari! Shirika la Afya la Dunia (WHO) limetoa ripoti na kubainisha kwamba dawa za kutibu maradhi ya kuharisha, vichomi, maambukizi ya kwenye njia ya mkojo (U.T.I), mafua na magonjwa kama ya zinaa mfano kaswende na kisonono sasa zimekuwa sugu.  ..Soma zaidi===>http://bit.ly/1J7E0L4

 

10 years ago

GPL

OFM YANASA MABAAMEDI WAKIUZWA!

Chande Abdallah na Deogratius Mongela WAMENASWA! Kitengo maalum cha Oparesheni Fichua Moavu (OFM) cha Global Publishers mwishoni mwa wiki kiliwanasa wahudumu wa baa wakiuzwa kwa wanywaji wanaohitaji huduma ya ngono katika mtego uliofanywa katika baa moja iliyopo Ubungo External, Ilala jijini Dar es Salaam. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1UC9ooV

 

11 years ago

GPL

OFM YANASA DENTI DARASA LA 6 AKIJIUZA!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers imemnasa denti wa darasa la sita anayesoma shule ya msingi (jina linahifadhiwa kimaadili) kwenye kambi ya machangudoa akidaiwa kujihusisha na biashara haramu ya kuuza mwili. Denti wa darasa la sita aliyenaswa kwenye kambi ya machangudoa akidaiwa kujihusisha na biashara haramu ya kuuza mwili. Tukio hilo lilijiri wiki iliyopita maeneo ya Kahumba mjini...

 

11 years ago

GPL

OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI

Mshuhudie Kamanda hatari wa OFM aliyepania kuibadilisha Tanzania, akiripoti tukio la aina yake ambapo mara hii amemnasa mzungu aliyekuwa na denti wa kidato cha tatu gesti, tena usiku wa manane! Ungana na Global TV Online kupata full stori!

 

10 years ago

Vijimambo

Majina ya Wagombea wa CCM hadi Tarehe 17 June 2015:

1. Prof Mark Mwandosya2. Stephen Masatu Wassira3. Balozi Amina Salum Ali4. Charles Makongoro Nyerere5. Amos Robert Siyatemi6. Fredrick Tluway Sumaye7. Mohamed Gharib Bilal8. Ali Karume9. Edward Ngoyai Lowasa10. John Pombe Magufuli11. Prof Sospeter Muhongo12. Samwel John Sitta13. Titus Mlengela Kamani14. Mwigulu Lameck Nchemba15. Musa Godwin Mwapango16. Lazaro Samuel Nyalandu17. Peter Isaiah Nyalali18. Leonce Nicholas Mulenda19. Bernard Kamilius Membe20. Luhaga Joelson Mpina21. Mwelecele...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU: Wanaokata majina ya wagombea CCM marufuku

>Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amepiga marufuku viongozi wa chama hicho katika ngazi zinazofanya uteuzi wa wagombea kukata majina ya watu walioomba nafasi mbalimbali ili kukinusuru kisipoteze nafasi nyingi.

 

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM, itakayopitisha Majina Matano ya Wagombea Urais


Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Dr. Ally Mohamed Shein
3. Phillip Japhet Mangula
4. Abdulrahman Kinana
6. Dr. Mohamed Ghalib Bilal
7. Mizengo Kayanza Peter Pinda8. Balozi Seif Ali Iddi
9. Anna Semamba Makinda
10. Pandu Amir Kificho
11. Rajab Luhwavi
12. Vuai Ali Vuai
13. Nape Moses Nnauye
14. Mohammed Seif Khatibu
15. Zakhia Hamdan Meghji
16. Asha Rose Migiro
17. Sophia...

 

9 years ago

Vijimambo

TAZAMA HAPA MAJINA YA WAGOMBEA WA CHADEMA PAMOJA NA MAJIMBO WATAKAYOGOMBEA UBUNGE KUPITIA UKAWA

MARA 
Rorya - STEVEN J OWAWA
Tarime Mjini - ESTHER N MATIKO
Tarime Vijijini - JOHN HECHE
Musoma Vijijini - ZAKARIA MBULA CHIRAGWILE
Butiama - YUSUPH R KAZI
Bunda Mjini - ESTHER BULAYA
Mwibara - HARUN D CHIRIKO
Musoma Mjini - VINCENT J NYERERE
Bunda Vijijini - SULEIMAN DAUDI


SIMIYU 
Bariadi - GODWIN SIMBA
Maswa Magharibi - ABDALA PATEL
Maswa Mashariki - SYLVESTER KASULUMBAYI
Kisesa - MASANJA MANANI
Meatu - MESHACK OPULUKWA
Itilima - MARTINE MAGILE


SHINYANGA 
Msalala - PAULO MALAIKA
Kahama Mjini - JAMES...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani