Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFISI YA BUNGE YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA KITI CHA UNAIBU SPIKA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Chief Yemba wa ADC atangaza kugombea kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania !

Yemba+PHOTO Chief Yemba

Na Mahmoud Ahmad

[TANZANIA]

Kutoka jiji la Arusha, aliyekuwa  mgombea urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ADC, Chief Lutayosa Yemba (Pichani) ametangaza kugombea kiti cha Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha ADC.

Chief Yemba, ameyasema hayo leo jijini Arusha, alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari akitoa tathimini ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu, pamoja na kutathimini uchaguzi wa jimbo la Arusha ambao...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk. Tulia Mwansasu achaguliwa kugombea Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania!

SPIKA 1Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wamchagua Dk. Tulia Ackson Mwansasu kugombea nafasi  ya Unaibu Spika wa 11 wa Bunge la  Jamhur la Muungano wa Tanzania.

Kwa mujibu wa Katibu Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ambaye pia ni Mbunge wa Mtama amebainisha kuwa, Dk. Tulia amepata nafasi hiyo baada ya wagombea wengine wawili kujitoa hivyo kupita bila kupingwa.

 Wagombea waliokuwa wakigombea nafasi hiyo ndani ya CCM ni pamoja na Mhe. Mariam Kisangi pamoja na Bahati Abeid.

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM yaanza mchakato wa kusaka wenye sifa za kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

CCM

Muonekano wa jengo la Ofisi ndogo ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatangaza Ratiba ya Uchukuaji Fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wana-CCM wote wenye sifa husika. 

Ratiba ya mchakato huo ni kama ifuatavyo;-

Wana-CCM wasio Wabunge wanaoomba ridhaa ya CCM kugombea Uspika wanatakiwa kuchukua fomu kuanzia Novemba 11, 2015 saa Sita Kamili mchana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Unaibu Spika kaa la moto

tulia ackson>Jenister Mhagama ajitosa kumvaa Dk. Tulia Akson

>Wabunge washtukia figisufigisu ya mgombea kubebwa
>Ndugai apita bila kupingwa, Ukawa wamteua Medeye

NA WAANDISHI WETU, DODOMA

BAADA ya jana wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumpitisha aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la 10, Job Ndugai, kuwania kiti cha uspika, vita kubwa inaonekana kuanza katika nafasi ya Naibu Spika.

Taarifa zilizopatikana jana mjini hapa, zinasema kuwa katika nafasi hiyo, baadhi ya vigogo wa Serikali wanataka Dk. Tulia...

 

9 years ago

CCM Blog

DK. TULIA ACKSON APITA UNAIBU SPIKA CCM

 Dk. Tulia Ackson amepita bila kupingwa baada ya kuchaguliwa na wabunge wa CCM kugombea nafasi ya Unaibu Spika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Unaibu spika Bahati Abeid akizungumza mbele ya wabunge wa CCM.
 Mhe. Mariam Kisangi akizungumza mbele ya wabunge wa CCM kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo yeye pamoja na Bahati Abeid walijitoa na kumpa nafasi Dk.Tulia Ackson kupita bila kupingwa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongea...

 

10 years ago

Michuzi

MWANASHERIA MKUU AMTEMBELEA SPIKA MAKINDA OFISI NDOGO ZA BUNGE JIJINI DAR

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anne Makinda akimkaribisha ofisini kwake Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju wakati alipofanya ziara fupi ya kubadilishana mawazo hii leo. Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akitia saini kwenye kitabu cha wageni wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya kuanza kubadilshana mawazo. Ziara hiyo fupi imefanyika ofisi ndogo za bunge Dar-es-salaam.Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju...

 

5 years ago

Raia Mwema

Kituko cha Spika wa Bunge asiye mbunge!

TUNAWEZA kubaini hatua mbalimbali za kihistoria zilizolifanya bunge letu liwe bubu na butu, nami

Jenerali Ulimwengu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani