Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ofisa uvuvi Kilolo agongwa na kufa

OFISA Uvuvi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, William Mwazoka amepoteza maisha baada ya kugongwa na gari namba T789 BMF Mitsubishi Canter, iliyokuwa ikiendeshwa na Ordo Leonard mkazi wa Mtwivilla, mjini Iringa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Agongwa na kufa

MWENDESHA pikipiki ambaye jina lake halikufahamika, anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25-30, amefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam baada ya kugongwa na gari. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa

Uvuvi usiokuwa endelevu unafanyika katika Ziwa Nyasa na kusababisha samaki adimu waliokuwapo kuendelea kutoweka mwaka hadi mwaka.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ULEGA AWATAKA MAAFISA UVUVI KUSIMAMIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA SEKTA YA UVUVI



 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akisikiliza hoja na malalamiko kutoka kwa mmoja wadau wa sekta ya uvuvi katika Kijiji cha Kigombe Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga.Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe. Jumaa Aweso ( wa kwanza kutoka kulia) akifuatiwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega wakikagua punda...

 

11 years ago

GPL

AGONGWA NA KUFARIKI DUNIA HAPOHAPO

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Meshak John Lusito amegongwa na gari na kufariki dunia leo eneo la Gezaulole, Kigamboni Dar, aliyemgonga amekimbia na gari lake na inasemekana ni  kiongozi! (PICHA NA GLOBAL WhatsApp +255 753 715 779)

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamume agongwa na treni, afa

MWANAMUME anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 25 hadi 30, amefariki dunia baada ya kugongwa na treni, eneo la Mabibo Muleba, Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Trafiki agongwa akiongoza magari

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kituo cha Mbagala wilayani Temeke, Koplo Riziki Mohamedi amelazwa katika Hospitali ya Rufani ya Muhimbili baada ya kugongwa na gari akiwa kazini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

11 years ago

GPL

AGONGWA NA KIBERENGE, AVUNJIKA MGUU

Mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge. Pikipiki ambayo imegongwa na Kiberenge.…

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE AGONGWA NA DALADALA UBUNGO MAJI

Raia wakijaribu kuokoa maisha ya dada aliyegongwa na gari (daladala) maeneo ya Ubungo maji wakati akivuka bara bara.  Majeruhi (dada huyo) akichukuliwa kwenye gari na wasamaria wema.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani