Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) yazinduliwa mjini Lusaka, zambia

 Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dr. Charles Tizeba (kushoto), Waziri wa Usafirishaji, Kazi na Mawasiliano wa Zambia, Bw. Yamfwa Mukanga (katikati) na Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Grace Mujuma wakati wa uzinduzi rasmi wa ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lusaka hivi karibuni.

Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Grace Mujuma (katikati) akifurahia baada ya uzinduzi rasmi wa ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lusaka hivi karibuni.  Ofisi hiyo ilizinduliwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA YAFUNGUA OFISI LUSAKA ZAMBIA

Tarehe 29 Juni 2015, Mamlaka ya Bandari Tanzania imefungua rasmi Ofisi nchini Zambia. Ofisi hizo zimefunguliwa katika Jiji la Lusaka.


Dhumuni kubwa la Mamlaka ya Bandari kufungua ofisi hii Lusaka ni baada ya kuwepo malalamiko kwa upande wa Zambia ambaye ni mteja wake mkubwa ya kuwepo ukiritimba wa utoaji wa mizigo yao. Hivyo Mamlaka ikaona ni vema kuja kufungua ofisi hapa Lusaka.


Sherehe za ufunguzi wa ofisi hii ulihudhuriwa na Mhe Dkt. Charles Tizeba Naibu Waziri wa Uchukuzi na viongozi...

 

11 years ago

Michuzi

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), yajipanga kuikabili Ebola

Mganga Mkuu wa Zahanati ya TPA, Dkt. Mkunde Mlay akifungua mafunzo ya namna ya kukabiliana na Ebola kwa Wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wa vitengo vya afya, zimamoto na ulinzi. Mafunzo hayo yalitolewa hivi karibuni bandarini hapo na madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.Dkt. Juma Mfinanga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza jambo kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kukabiliana na Ebola. Mfano wa vazi maalumu la kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ebola...

 

11 years ago

Michuzi

Wakulima Dodoma wasifu Ufanisi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akipata maelezo katika Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia). Katikati ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya.Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la TPA lililopo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UCHUKUZI ARIDHISHWA NA MAENDLEO YA UJENZI WA JENGO JIPYA LA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)

 Waziri wa Uchukuzi, Samweli Sitta (wa pili kutoka kulia) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Awadh Massawe, wakati akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Mamlaka hiyo leo mchana. Wa kwanza Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka. Mbunifu majenzi  kutoka kampuni ya K &M Acrplans (T) ltd, ambao ndio washauri wa ujenzi wa Jengo hilo, Arch. Albert Mwambafu, akitoa maelezo kwa Waziri wa Uchukuzi, Samuel...

 

11 years ago

GPL

WAKULIMA DODOMA, WASIFU UFANISI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) KATIKA KUWEZESHA USAFIRISHAJI WA MAZAO NA UAGIZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO.

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw.  Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akipata maelezo katika Banda la TPA lililopo viwanja vya Nane nane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia). Katikati ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya. Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA LUSAKA ZAMBIA MHE GRACE MUJUMA AFUTURISHA WATANZANIA WAISHIO LUSAKA

  BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE GRACE MUJUMA (KATIKATI) AKIWA NA UONGOZI WA WAISLAM WAISHIO ZAMBIA WAKATI WA FUTARI ALIYOANDAA KWA WATANZANIA WAISHIO ZAMBIA NYUMBANI KWAKE JIJINI LUSAKA LEO BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE GRACE MUJUMA (KATIKATI) AKIWA NA UONGOZI WA WAISLAM WAISHIO ZAMBIA. KUTOKEA KUSHOTO JUMA NURU MWAKILISHI WA LAKE PETROLEUM, HUDDY KIANGI AFISA WA UBALOZI, SHEIKH ALI MOHAMED ALLIY KAIMU MUFTI, MHE GRACE MUJUMA BALOZI, SHEIKH ASSADULLAH MWALE GRAND MUFTI NA...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA TPA WATEMBELEA MAMLAKA YA BANDARI GHANA

 Ujumbe wa Watalaamu wa masuala wa ICT, Ulinzi na Ujenzi kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) uko kwenye ziara ya mafunzo ( Study tour ) katika Mamlaka ya Bandari Ghana (GPHA) ili kubadilishana utaalamu wa namna ya kuongeza ufanisi wa utekelezaji na kuimarisha Ulinzi wa Bandari, ujumbe wa TPA unaongozwa na Ndg. Phares Magesa Mkurugenzi wa ICT - TPA .
Kwa sasa TPA inatekeleza miradi kadhaa ya kuongeza ufanisi kwa kutumia ICT, kuboresha  Ulinzi kwa kufunga Mitambo ya kielektroniki na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani