OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAENDELEA NA UANDISHI WA RIPOTI ZA KINA ZINAZOTOKANA NA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akifungua kikao cha kupitia taarifa ya Uandishi wa Ripoti za Kina (Thematic reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 kutoka kwa watalaam mbalimbali wa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali kilichofanyika leo katika Hotel ya Peacock Jijini Dar es Salaam. Mshauri mtaalam wa Sensa ya Watu na Makazi Bw. Collins Opiyo kutoka Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani akitoa ushauri wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAFUNGUA RASMI MAFUNZO YA NAMNA YA UANDISHI BORA WA TAARIFA ZA KINA (THEMATIC REPORTS), ZINAZOTOKANA NA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Ofisi ya Taifa ya Takwimu yafungua mafunzo ya Uandishi Bora wa taarifa za kina zitokana na sensa ya mwaka 2012
Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa (katikati) akimsikiliza kwa makini mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa Taarifa za Kina (Thematic Reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 yaliyonguliwa jana mkoani Arusha. Kulia kwake ni Mkurugeni wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa na kushoto kwake ni Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho...
10 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012.
Hayo yamebainishwa leo mkoani Pwani na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa wakati akiwakaribisha viongozi, watendaji na wadau...
10 years ago
Dewji Blog13 May
Ofisi ya taifa ya takwimu yasambaza matokeo ya Sensa wa watu na makazi ya mwaka 2012 katika mkoa wa Dodoma
10 years ago
GPLOFISI YA TAKWIMU YA TAIFA YATOA MAJIBU YA SENSA YA 2012
10 years ago
MichuziWabunge wapewa Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziSEMINA YA USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012 YAFANYIKA MKOANI MOROGORO
9 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MATOKEO YA TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA KWA ROBO MWAKA YA KWANZA YA MWAKA 2015
11 years ago
MichuziKAMISHNA WA SENSA YA WATU NA MAKAZI ASISITIZA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10