Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012 YAFANYIKA MKOANI MOROGORO

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akitoa maelezo mafupi wakati wa Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika leo mjini Morogoro. Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akitoa maelezo mafupi ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro wakati wa Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika leo mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wabunge wapewa Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012

Mgeni Rasmi katika Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Waziri wa Uchukuzi,Mh. Samuel Sitta akiwasilisha mada katika semina hiyo iliyofanyika leo mjini Dodoma.Waziri wa Fedha Saada Mkuya akitoa ufafanuzi juu ya maswali ya wabunge. Kamishna wa Sensa Tanzania, Hajjat Amina Mrisho akiwasilisha mada.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012.

 Picha na Habari na Aron Msigwa–MAELEZOOfisi ya Taifa ya Takwimu imezindua rasmi usambazaji wa matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi  ya mwaka 2012 na kuwataka wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini kuanza kutumia na kuhamasisha matumizi ya takwimu rasmi zilizotolewa na ofisi hiyo katika kupanga mipango ya maendeleo.
Hayo yamebainishwa leo mkoani Pwani na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa wakati akiwakaribisha viongozi, watendaji na wadau...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ofisi ya taifa ya takwimu yasambaza matokeo ya Sensa wa watu na makazi ya mwaka 2012 katika mkoa wa Dodoma

USAMBAZAJI DODOMA 1

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akielezea umuhimu wa kufanya Semina  ya Usambazaji wa  Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika jana katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma. USAMBAZAJI DODOMA 2 Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akitoa maelezo mafupi kuhusu Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma. USAMBAZAJI DODOMA 3

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAENDELEA NA UANDISHI WA RIPOTI ZA KINA ZINAZOTOKANA NA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akifungua kikao cha kupitia taarifa ya Uandishi wa Ripoti za Kina (Thematic reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 kutoka kwa watalaam mbalimbali wa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali kilichofanyika leo katika Hotel ya Peacock Jijini Dar es Salaam. Mshauri mtaalam wa Sensa ya Watu na Makazi Bw. Collins Opiyo kutoka Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani akitoa ushauri wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAFUNGUA RASMI MAFUNZO YA NAMNA YA UANDISHI BORA WA TAARIFA ZA KINA (THEMATIC REPORTS), ZINAZOTOKANA NA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012

Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa (katikati) akimsikiliza kwa makini mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa Taarifa za Kina (Thematic Reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 yaliyonguliwa jana mkoani Arusha. Kulia kwake ni Mkurugeni wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa na kushoto kwake ni Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ofisi ya Taifa ya Takwimu yafungua mafunzo ya Uandishi Bora wa taarifa za kina zitokana na sensa ya mwaka 2012

PICHA NO. 1

Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa (katikati) akimsikiliza kwa makini mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa Taarifa za Kina (Thematic Reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 yaliyonguliwa jana mkoani Arusha. Kulia kwake ni Mkurugeni wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa na kushoto kwake ni Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA YA WATU NA MAKAZI ASISITIZA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Hajjat Amina Mrisho Said (katikati) akizungumza na Wadadisi wa Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa mwaka 2014 kwa Kanda ya kasikazini inayojumuisha mikoa ya Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara. Kulia kwake ni Opio Mamu Msimamizi wa mafunzo katika kanda hiyo na kushoto kwake ni Juma Shaban Meneja Takwimu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu mkoa wa Manyara. Wadadisi wa Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa mwaka 2014 kwa Kanda ya...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi yakutana mjini Dodoma

Mwenyekiti mwenza wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikiendesha Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana katika Ukumbi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa { TAMISEMI } Mjini Dodoma. Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambao ni Wajumbe wa KamatiI Kuu ya Taifa ya Sensa Tanzania wakiendelea na Kikao chao Mjini Dodoma. Kutoka Kulia ni Waziri wa Habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani