Ofisi ya Taifa ya Takwimu yafungua mafunzo ya Uandishi Bora wa taarifa za kina zitokana na sensa ya mwaka 2012
Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa (katikati) akimsikiliza kwa makini mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa Taarifa za Kina (Thematic Reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 yaliyonguliwa jana mkoani Arusha. Kulia kwake ni Mkurugeni wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa na kushoto kwake ni Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7melNu6xLzE/U0QaC4n8waI/AAAAAAAFZV8/lOVB--zdLbY/s72-c/PICHA+NO.+1.jpg)
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAFUNGUA RASMI MAFUNZO YA NAMNA YA UANDISHI BORA WA TAARIFA ZA KINA (THEMATIC REPORTS), ZINAZOTOKANA NA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012
![](http://2.bp.blogspot.com/-7melNu6xLzE/U0QaC4n8waI/AAAAAAAFZV8/lOVB--zdLbY/s1600/PICHA+NO.+1.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-RRsTyZ8EtBo/U26Syy-lJuI/AAAAAAAFgw4/V7XMGNjNeVA/s72-c/PICHA+NO+1.jpg)
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAENDELEA NA UANDISHI WA RIPOTI ZA KINA ZINAZOTOKANA NA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012
![](http://1.bp.blogspot.com/-RRsTyZ8EtBo/U26Syy-lJuI/AAAAAAAFgw4/V7XMGNjNeVA/s1600/PICHA+NO+1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4cbgItD-VRA/U26SzcO8h8I/AAAAAAAFgxE/j7okly2i7Fc/s1600/PICHA+NO+2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4s22_lLsaQQ/VD6mxwhuBpI/AAAAAAAGqsM/46vckrscMB8/s72-c/unnamed%2B(75).jpg)
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012.
Picha na Habari na Aron Msigwa–MAELEZOOfisi ya Taifa ya Takwimu imezindua rasmi usambazaji wa matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na kuwataka wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini kuanza kutumia na kuhamasisha matumizi ya takwimu rasmi zilizotolewa na ofisi hiyo katika kupanga mipango ya maendeleo.
Hayo yamebainishwa leo mkoani Pwani na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa wakati akiwakaribisha viongozi, watendaji na wadau...
Hayo yamebainishwa leo mkoani Pwani na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa wakati akiwakaribisha viongozi, watendaji na wadau...
10 years ago
Dewji Blog13 May
Ofisi ya taifa ya takwimu yasambaza matokeo ya Sensa wa watu na makazi ya mwaka 2012 katika mkoa wa Dodoma
![USAMBAZAJI DODOMA 2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/USAMBAZAJI-DODOMA-2.jpg)
![USAMBAZAJI DODOMA 3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/USAMBAZAJI-DODOMA-3.jpg)
10 years ago
GPLOFISI YA TAKWIMU YA TAIFA YATOA MAJIBU YA SENSA YA 2012
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Albina Chuwa, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Kamishna wa Sensa, Hajjat Amina Said, akitoa ufafanuzi kwa wadau (hawapo pichani).…
10 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-e_Lx40LAhyU/Vc174OCQHrI/AAAAAAAHwfg/dtuGMlucYuQ/s72-c/PICHA%2BNO.3.jpg)
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MATOKEO YA TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA KWA ROBO MWAKA YA KWANZA YA MWAKA 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-e_Lx40LAhyU/Vc174OCQHrI/AAAAAAAHwfg/dtuGMlucYuQ/s640/PICHA%2BNO.3.jpg)
9 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA KUHUSU MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WA MWEZI AGOSTI, 2015
Na Dotto MwaibaleUWEZO wa shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma umefikia shilingi 62 na senti 97 mwezi Agosti, 2015 kutoka mwezi Septemba,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10