Oktoba 25 inaweza kubadili historia ya Tanzania?
Oktoba 25, inaweza kuwa ndiyo siku muhimu kuliko zote mwaka huu kwa Watanzania. Hiyo inatokana na ukweli kwamba ni siku ambayo wananchi 22.75 milioni wanatarajiwa kupiga kura kuchagua viongozi watakaoiongoza nchi yetu kwa miaka mitano ijayo. Si ajabu kwamba kila Mtanzania anajua umuhimu wa Oktoba 25 ingawa wapo wanaojua zaidi. Wachambuzi wa mambo wanabashiri uwezekano wa kubadilisha historia ya nchi ya Tanzania kwa kupata kiongozi kutoka chama mbadala, mbali na CCM kinachotawala...
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Tanzania inaweza kuzipiku nchi za A. Mashariki kiuchumi
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Tanzania ya Magufuli inaweza kusimamia bajeti bila wahisani
Rais wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Kasi aliyoingia nayo madarakani Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli imeendelea kuwa gumzo kila kona, ndani na nje ya nchi huku wadau wengi wakionesha kumpongeza hasa katika suala zima la kuhakikisha serikali yake inakusanya kodi kwa wingi na kuziba mianya yote ya ‘upigaji’ wa mali za umma uliokuwa umekithiri.
Ipo wazi kwamba mataifa yote makubwa yaliyoendelea duniani, ikiwemo Marekani na nchi nyingine za Ulaya,...
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa Kwanza 1967 Katika Historia ya Tanzania
1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayatakuwa na
muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika kwenye maeneo machache.Kwani kumbukumbu zilizopo zinaonyesha kwamba mrembo wa kwanza kunyakua
taji hilo la Miss Tanzania, si mwingine bali alikuwa Theresa Shayo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-IHwNqr8Y6ko/VoPDvyXmpvI/AAAAAAAAPF0/p72Mg51KTEA/s1600/shayo67.jpg)
Kutokana na maadali na utamaduni ya mtanzania serikali ililazimika
kuyapiga marufuku mashindano hayo ilipofika tu mwaka 1967, kabla ya Rais
wa awamu ya pili Alhaj Ali...
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Vijana Tanzania walioamua kubadili mtizamo wa kazi ya uchuuzi wa mitaani
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Historia ya Muungano wa Tanzania
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/A7mDq_E_vr8/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Ijue historia ya Serikali za mitaa Tanzania-2
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Historia ya Serikali za Mitaa Tanzania — hitimisho
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Tanzania Top Models ilivyoandika historia
DESEMBA 7, mwaka huu, iliandikwa historia mpya katika fani ya uanamitindo hapa nchini, pale shindano la Tanzania Top Models lilipofanyika kwa mara ya kwanza. Shindano hilo limeasisiwa na Tanzania Top...