Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania ya Magufuli inaweza kusimamia bajeti bila wahisani

71d6pombeRais wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli.

Kasi aliyoingia nayo madarakani Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli imeendelea kuwa gumzo kila kona, ndani na nje ya nchi huku wadau wengi wakionesha kumpongeza hasa katika suala zima la kuhakikisha serikali yake inakusanya kodi kwa wingi na kuziba mianya yote ya ‘upigaji’ wa mali za umma uliokuwa umekithiri.

Ipo wazi kwamba mataifa yote makubwa yaliyoendelea duniani, ikiwemo Marekani na nchi nyingine za Ulaya,...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wahisani wakubali kuchangia bajeti

Saada Mkuywa Naibu Waziri wa FedhaSHAMIMU MATTAKA (DACICO)
HATUA zilizochukuliwa na serikali dhidi ya waliochota zaidi ya Sh bilioni 200 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zimesaidia Tanzania kukubaliwa kupewa Sh bilioni 71 na wahisani wa Maendeleo katika bajeti ijayo ya 2015/2016.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya alisema Dar es Salaam jana kwamba wahisani hao wamefikia hatua hiyo baada ya kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya watuhumiwa.
“Baada ya suala hilo Tanzania ilikuwa katika sura ambayo si nzuri lakini...

 

11 years ago

GPL

WASHAURI KUUNDWA SHERIA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA BAJETI

Mmoja wa washiriki wa mjadala wa wazi akichangia mada. Mmoja wa washiriki akichangia mada kwenye mjadala wa wazi. Baadhi ya washiriki wa mjadala kutoka asasi anuai wakifuatilia mada. Baadhi ya washiriki wa mjadala kutoka asasi anuai wakifuatilia mada. Washiriki wa mjadala. Mwakilishi wa asasi ya Network for Vulnerables Rescue Foundation… ...

 

11 years ago

GPL

UKICHEPUKA MARA MOJA, INAWEZA KUYAGHARIMU MAISHA YAKO YOTE KUREJESHA UPENDO WAKE KWAKO BILA MAFANIKIO...

Tukiendelea na mada yetu kutoka pale tulipoishia wiki iliyopita, suala la kuchepuka ni la kupiga vita. Anayekuja kwako na vishawishi vya hapa na pale ndiye adui yako pale mambo yanapogeuka. Ukichepuka utamuumiza sana mwenzio, kisha nawe utaumia. Hii ni kwa sababu mateso ya mwenzi wako hayawezi kukupa ahueni. Kwa walio kwenye mapenzi ya dhati ni kwamba mwenzi wako anapoteseka, na wewe pia unakuwa kwenye mateso makali. Maana...

 

9 years ago

Mwananchi

Kasi ya Magufuli inaweza kuwaacha wengi njiani

Wakati Jakaya Kikwete alipochaguliwa kuongoza Serikali ya Awamu ya Nne mwaka 2005, aliingia na kasi ya aina yake; kutembelea wizara za Serikali na kuzungumza na watendaji ili kujifunza namna wanavyofanya kazi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sahihisho:Wahisani bado wanaikaba Tanzania

Tunachukua fursa hii kurekebisha taarifa katika tovuti yetu yenye kichwa cha habari "Wahisani wafurahishwa na hotuba ya JK".

 

11 years ago

Dewji Blog

Bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani ya nchi yapita bila kupingwa

PG4A9520

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Naibu wake, Pereira Sirima (kulia) wakipongezwa na Wabunge baada ya bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo, bungeni mjini Dodoma May 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9513

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William  Lukuvi, bungeni mjini Dodoma.

PG4A9525

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Makambako, Deo Sanga (kushoto) na Mbunge wa Viti Maaliam, Lediana Mng’ong’o...

 

9 years ago

Mwananchi

Oktoba 25 inaweza kubadili historia ya Tanzania?

Oktoba 25, inaweza kuwa ndiyo siku muhimu kuliko zote mwaka huu kwa Watanzania. Hiyo inatokana na ukweli kwamba ni siku ambayo wananchi 22.75 milioni wanatarajiwa kupiga kura kuchagua viongozi watakaoiongoza nchi yetu kwa miaka mitano ijayo. Si ajabu kwamba kila Mtanzania anajua umuhimu wa Oktoba 25 ingawa wapo wanaojua zaidi. Wachambuzi wa mambo wanabashiri uwezekano wa kubadilisha historia ya nchi ya Tanzania kwa kupata kiongozi kutoka chama mbadala, mbali na CCM kinachotawala...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania inaweza kuzipiku nchi za A. Mashariki kiuchumi

Mtangamano wa Afrika Mashariki umekuwapo kwa muda mrefu tangu wakati wa ukoloni, nchi ya Tanganyika, Kenya na Uganda zikiwa makoloni ya Uingereza.

 

11 years ago

GPL

DK MAGUFULI AHAMIA MOROGORO KUSIMAMIA UJENZI DARAJA LA DUMILA LILILOSOMBWA NA MAJI

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akiwa katika gari linaloendelea na ujenzi wa daraja la Dumila.
Waziri Magufuli akitoa maelekezo kwa watendaji wa Tanroads.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani