Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sahihisho:Wahisani bado wanaikaba Tanzania

Tunachukua fursa hii kurekebisha taarifa katika tovuti yetu yenye kichwa cha habari "Wahisani wafurahishwa na hotuba ya JK".

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Tanzania ya Magufuli inaweza kusimamia bajeti bila wahisani

71d6pombeRais wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli.

Kasi aliyoingia nayo madarakani Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli imeendelea kuwa gumzo kila kona, ndani na nje ya nchi huku wadau wengi wakionesha kumpongeza hasa katika suala zima la kuhakikisha serikali yake inakusanya kodi kwa wingi na kuziba mianya yote ya ‘upigaji’ wa mali za umma uliokuwa umekithiri.

Ipo wazi kwamba mataifa yote makubwa yaliyoendelea duniani, ikiwemo Marekani na nchi nyingine za Ulaya,...

 

10 years ago

Habarileo

SAHIHISHO

Katika gazeti letu la Jumapili kulikuwa na habari katika ukurasa huu isemayo ‘Vigogo CCM waanguka ubunge makundi maalum’.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wahisani wafurahishwa na hotuba ya :JK

wahisani wa nchi zipatazo 12 ambazo zilisitisha misaada ya dola milioni 500 kwenye bajeti ya Tanzania zitaachilia dola bilioni 84 .

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wahisani waanza kumwaga misaada



Wakunwa na hatua dhidi ya vigogo Escrow
NA MUSSA YUSUPH
NCHI na mashirika wahisani wameanza mchakato wa kutoa fedha za msaada wa bajeti walizozizuia, kutokana na sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, baada ya kuridhika na hatua zilizochukuliwa dhidi ya wahusika.
Fedha zitakazotolewa ni sh. bilioni 922, ambazo ni sehemu ya asilimia tano zitakazotumika kusaidia bajeti, ambapo kabla ya kuzuliwa, asilimia 20 ya fedha hizo, zilikuwa zimekwishatolewa kwa serikali.
Akizungumza...

 

10 years ago

Mtanzania

Wahisani wakubali kuchangia bajeti

Saada Mkuywa Naibu Waziri wa FedhaSHAMIMU MATTAKA (DACICO)
HATUA zilizochukuliwa na serikali dhidi ya waliochota zaidi ya Sh bilioni 200 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zimesaidia Tanzania kukubaliwa kupewa Sh bilioni 71 na wahisani wa Maendeleo katika bajeti ijayo ya 2015/2016.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya alisema Dar es Salaam jana kwamba wahisani hao wamefikia hatua hiyo baada ya kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya watuhumiwa.
“Baada ya suala hilo Tanzania ilikuwa katika sura ambayo si nzuri lakini...

 

11 years ago

Habarileo

Wahisani waanza kutekeleza ahadi

KILIO cha wabunge kuhusu baadhi ya wizara kukosa fedha kama zilivyoidhinishwa na Bunge katika Bajeti inayoisha, kimesikika ambapo mazungumzo kati ya Serikali na wahisani, yamezaa matunda kwa baadhi ya wahisani kukubali kutoa fedha hizo kabla la Juni 30, mwaka huu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wahisani kuijadili hali ya Sudan:K

Norway imewapokea wafadhili hii leo katika mkutano unaojadili mikakati ya kuisaidia nchi ya Sudan kusini yenye mizozo

 

10 years ago

Mwananchi

Kiboko cha fedha za wahisani kituzindue

Hatimaye juzi wahisani wanaofadhili bajeti ya Serikali wamekubali kuruhusu zaidi ya Sh800 bilioni walizogoma kutoa, wakishinikiza Serikali kuchukua hatua stahiki kufuatia kashfa ya uchotwaji wa Sh306 bilioni katika akaunti ya Tegeta Escrow.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahisani wajitoa kuchangia mapambano ya Ukimwi

KASI ya maambukizi ya Ukimwi Wilaya ya Moshi Vijijini imetajwa kuongezeka kutokana na mashirika yasiyo ya kiserikali kuacha kuwasaidia watoto yatima kutokana na nchi wahisani kuyafutia misaada mashirika hayo. Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani