Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahisani kuijadili hali ya Sudan:K

Norway imewapokea wafadhili hii leo katika mkutano unaojadili mikakati ya kuisaidia nchi ya Sudan kusini yenye mizozo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wahisani wafurahishwa na hotuba ya :JK

wahisani wa nchi zipatazo 12 ambazo zilisitisha misaada ya dola milioni 500 kwenye bajeti ya Tanzania zitaachilia dola bilioni 84 .

 

10 years ago

Habarileo

JK kuongoza marais kuijadili Burundi

Rais Pierre Nkurunziza wa BurundiMSIMAMO wa nchi wanachama wa Jumuiya wa Afrika Mashariki (EAC) juu ya hali ya kisiasa Burundi, inatarajiwa kujulikana leo baada ya kikao cha marais wa nchi tano za jumuiya hiyo kukutana jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Baraza la usalama la UN kuijadili Burundi

Baraza kuu la usalama la Umoja wa mataifa, linajiandaa kufanya mkutano kuhusiana na mzozo unaondelea nchini Burundi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mawaziri wa fedha EU kuijadili Ugiriki

Mawaziri wa fedha kutoka mataifa yanayotumia sarafu ya Yuro, wanajiandaa kuanza mkutano wa dharura, ili kujadili hatua itakayofuatia katika mazungumzo ya mzozo wa kifedha wa Ugiriki.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge waanza kuijadili bajeti

WABUNGE leo wanaanza mjadala wa bajeti ya Serikali iliyosomwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Bajeti hiyo inajadiliwa huku miongoni mwa maeneo yanayoonesha nafuu ikiwa ni pamoja na hatua ya serikali kutangaza kupunguza kiwango cha chini cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE) hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13.

 

10 years ago

Mtanzania

Wahisani wakubali kuchangia bajeti

Saada Mkuywa Naibu Waziri wa FedhaSHAMIMU MATTAKA (DACICO)
HATUA zilizochukuliwa na serikali dhidi ya waliochota zaidi ya Sh bilioni 200 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zimesaidia Tanzania kukubaliwa kupewa Sh bilioni 71 na wahisani wa Maendeleo katika bajeti ijayo ya 2015/2016.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya alisema Dar es Salaam jana kwamba wahisani hao wamefikia hatua hiyo baada ya kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya watuhumiwa.
“Baada ya suala hilo Tanzania ilikuwa katika sura ambayo si nzuri lakini...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wahisani waanza kumwaga misaada



Wakunwa na hatua dhidi ya vigogo Escrow
NA MUSSA YUSUPH
NCHI na mashirika wahisani wameanza mchakato wa kutoa fedha za msaada wa bajeti walizozizuia, kutokana na sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, baada ya kuridhika na hatua zilizochukuliwa dhidi ya wahusika.
Fedha zitakazotolewa ni sh. bilioni 922, ambazo ni sehemu ya asilimia tano zitakazotumika kusaidia bajeti, ambapo kabla ya kuzuliwa, asilimia 20 ya fedha hizo, zilikuwa zimekwishatolewa kwa serikali.
Akizungumza...

 

11 years ago

Habarileo

Wahisani waanza kutekeleza ahadi

KILIO cha wabunge kuhusu baadhi ya wizara kukosa fedha kama zilivyoidhinishwa na Bunge katika Bajeti inayoisha, kimesikika ambapo mazungumzo kati ya Serikali na wahisani, yamezaa matunda kwa baadhi ya wahisani kukubali kutoa fedha hizo kabla la Juni 30, mwaka huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa Euro kuijadili zaidi Ugiriki

Viongozi kutoka nchi zinazotumia sarafu ya Euro wanatarajiwa kukutana Jumatatu ijayo kujadili madeni ya Ugiriki

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani