Wahisani wafurahishwa na hotuba ya :JK
wahisani wa nchi zipatazo 12 ambazo zilisitisha misaada ya dola milioni 500 kwenye bajeti ya Tanzania zitaachilia dola bilioni 84 .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Wazazi wafurahishwa matokeo Tusiime
WAZAZI wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam, wamefurahishwa na matokeo ya shule hiyo ya darasa la saba mwaka huu na kuipongeza kwa kufanikiwa...
10 years ago
Habarileo25 Apr
Wafurahishwa na matokeo ya majaribio ya kuhifadhi nafaka
MAJARIBIO ya kuhifadhi nafaka kwa teknolojia isiyotumia kemikali iliyofanywa na Wakala wa Taifa wa hifadhi ya chakula (NFRA) mjini Dodoma yameonesha mafanikio makubwa na kutoa mwanya wa kuendelezwa kwa matumizi ya teknolojia hiyo.
11 years ago
Habarileo10 May
Wafurahishwa na kuendelea kwa miradi ya barabara
WAKAZI wa mikoa ya Rukwa na Katavi wameipongeza Serikali kwa kutenga zaidi ya Sh bilioni 19 ili kunusuru ujenzi wa miradi mikubwa mitatu ya barabara kwa kiwango cha lami iliyosimama kwa miezi kadhaa kutokana na uhaba wa fedha.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/4VsWZIs0BQg/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Wahisani wakubali kuchangia bajeti
SHAMIMU MATTAKA (DACICO)
HATUA zilizochukuliwa na serikali dhidi ya waliochota zaidi ya Sh bilioni 200 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zimesaidia Tanzania kukubaliwa kupewa Sh bilioni 71 na wahisani wa Maendeleo katika bajeti ijayo ya 2015/2016.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya alisema Dar es Salaam jana kwamba wahisani hao wamefikia hatua hiyo baada ya kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya watuhumiwa.
“Baada ya suala hilo Tanzania ilikuwa katika sura ambayo si nzuri lakini...
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Wahisani waanza kumwaga misaada
Wakunwa na hatua dhidi ya vigogo Escrow
NA MUSSA YUSUPH
NCHI na mashirika wahisani wameanza mchakato wa kutoa fedha za msaada wa bajeti walizozizuia, kutokana na sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, baada ya kuridhika na hatua zilizochukuliwa dhidi ya wahusika.
Fedha zitakazotolewa ni sh. bilioni 922, ambazo ni sehemu ya asilimia tano zitakazotumika kusaidia bajeti, ambapo kabla ya kuzuliwa, asilimia 20 ya fedha hizo, zilikuwa zimekwishatolewa kwa serikali.
Akizungumza...
11 years ago
Habarileo06 Jun
Wahisani waanza kutekeleza ahadi
KILIO cha wabunge kuhusu baadhi ya wizara kukosa fedha kama zilivyoidhinishwa na Bunge katika Bajeti inayoisha, kimesikika ambapo mazungumzo kati ya Serikali na wahisani, yamezaa matunda kwa baadhi ya wahisani kukubali kutoa fedha hizo kabla la Juni 30, mwaka huu.
11 years ago
BBCSwahili20 May
Wahisani kuijadili hali ya Sudan:K
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Sahihisho:Wahisani bado wanaikaba Tanzania