Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazazi wafurahishwa matokeo Tusiime

WAZAZI wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam, wamefurahishwa na matokeo ya shule hiyo ya darasa la saba mwaka huu na kuipongeza kwa kufanikiwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wafurahishwa na matokeo ya majaribio ya kuhifadhi nafaka

Mkuu wa Programu na mratibu wa P4P wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Marina NegroponteMAJARIBIO ya kuhifadhi nafaka kwa teknolojia isiyotumia kemikali iliyofanywa na Wakala wa Taifa wa hifadhi ya chakula (NFRA) mjini Dodoma yameonesha mafanikio makubwa na kutoa mwanya wa kuendelezwa kwa matumizi ya teknolojia hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matokeo kidato cha nne ni hujuma kwa wazazi

NIANZE kwa kukushukuru wewe unayeendelea kuwa msomaji na mfuatiliaji wa makala zangu kupitia gazeti letu hili tukufu. Hoja na maswali yako ndiyo chachu ya mimi kuendelea kuandika tafakuri mbalimbali kuhusu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaipongeza Tusiime

SERIKALI mkoani Dar es Salaam, imeipongeza shule ya Tusiime iliyopo Tabata  kwa namna ilivyosaidia mkoa huo kushika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kawambwa aipongeza Tusiime

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, ameipongeza Shule ya Tusiime ya Dar es Salaam ambayo imekuwa ya pili kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wahisani wafurahishwa na hotuba ya :JK

wahisani wa nchi zipatazo 12 ambazo zilisitisha misaada ya dola milioni 500 kwenye bajeti ya Tanzania zitaachilia dola bilioni 84 .

 

11 years ago

Habarileo

Tusiime kufundisha kwa kompyuta

SHIRIKA la Opportunity Education Foundation (OEF) la nchini Marekani, limeichagua Shule ya Sekondari Tusiime ya Tabata kuwa ya majaribio katika ufundishaji kwa njia ya kielektroniki mkoani Dar es Salaam na kuipatia kompyuta ndogo 100.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tusiime yaendeleza umwamba kielimu

WAKATI Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kwa mwaka wa pili mfululizo katika matokeo ya darasa la saba kitaifa, shule ya Msingi ya Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Mwananchi

Tusiime ‘yamkuna’ waziri Kawambwa

>Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, ameipongeza Shule ya Tusiime ya jijini Dar es Salaam kwa kushika nafasi ya  pili kitaifa katika matokeo ya mitihani ya darasa la saba mwaka jana.

 

11 years ago

Habarileo

Wafurahishwa na kuendelea kwa miradi ya barabara

WAKAZI wa mikoa ya Rukwa na Katavi wameipongeza Serikali kwa kutenga zaidi ya Sh bilioni 19 ili kunusuru ujenzi wa miradi mikubwa mitatu ya barabara kwa kiwango cha lami iliyosimama kwa miezi kadhaa kutokana na uhaba wa fedha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani