Kiboko cha fedha za wahisani kituzindue
Hatimaye juzi wahisani wanaofadhili bajeti ya Serikali wamekubali kuruhusu zaidi ya Sh800 bilioni walizogoma kutoa, wakishinikiza Serikali kuchukua hatua stahiki kufuatia kashfa ya uchotwaji wa Sh306 bilioni katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ONX7daM5GMw/VQWthvCpHNI/AAAAAAADcs4/NMM2xvG0YU8/s72-c/0L7C3863.jpg)
Chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini
![](http://3.bp.blogspot.com/-ONX7daM5GMw/VQWthvCpHNI/AAAAAAADcs4/NMM2xvG0YU8/s1600/0L7C3863.jpg)
10 years ago
Michuzi04 Jun
KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA WA FEDHA CHA FANYIKA MJINI MOROGORO
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/124.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/219.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/320.jpg)
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Pinda ashiriki hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burudani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014. Chakula hicho kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa maonyesho ya mavazi...
10 years ago
BBCSwahili23 Dec
Wahisani wafurahishwa na hotuba ya :JK
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Wahisani waanza kumwaga misaada
Wakunwa na hatua dhidi ya vigogo Escrow
NA MUSSA YUSUPH
NCHI na mashirika wahisani wameanza mchakato wa kutoa fedha za msaada wa bajeti walizozizuia, kutokana na sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, baada ya kuridhika na hatua zilizochukuliwa dhidi ya wahusika.
Fedha zitakazotolewa ni sh. bilioni 922, ambazo ni sehemu ya asilimia tano zitakazotumika kusaidia bajeti, ambapo kabla ya kuzuliwa, asilimia 20 ya fedha hizo, zilikuwa zimekwishatolewa kwa serikali.
Akizungumza...
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Wahisani wakubali kuchangia bajeti
SHAMIMU MATTAKA (DACICO)
HATUA zilizochukuliwa na serikali dhidi ya waliochota zaidi ya Sh bilioni 200 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zimesaidia Tanzania kukubaliwa kupewa Sh bilioni 71 na wahisani wa Maendeleo katika bajeti ijayo ya 2015/2016.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya alisema Dar es Salaam jana kwamba wahisani hao wamefikia hatua hiyo baada ya kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya watuhumiwa.
“Baada ya suala hilo Tanzania ilikuwa katika sura ambayo si nzuri lakini...
11 years ago
Habarileo06 Jun
Wahisani waanza kutekeleza ahadi
KILIO cha wabunge kuhusu baadhi ya wizara kukosa fedha kama zilivyoidhinishwa na Bunge katika Bajeti inayoisha, kimesikika ambapo mazungumzo kati ya Serikali na wahisani, yamezaa matunda kwa baadhi ya wahisani kukubali kutoa fedha hizo kabla la Juni 30, mwaka huu.
11 years ago
BBCSwahili20 May
Wahisani kuijadili hali ya Sudan:K
10 years ago
Dewji Blog07 Nov
Waziri Pinda azishangaa nchi wahisani
Na Mwandishi wetu, Dodoma
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (pichani), amesema kuwa amesononeshwa na uamuzi wa wahisani kuikatia Serikali misaada ya sh trilioni moja kutokana na kashfa ya IPTL.
Pinda, alisema Serikali iko tayari kuwawajibisha watu wawili au zaidi watakaotajwa kuhusika kwenye kashfa ya kuchota fedha kwenye Akaunti Maalum ya Tegeta Escrow, zaidi ya sh bilioni 200, zilizohifadhiwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), lakini hakubaliani na uamuzi wa kukata misaada, kwani unaathiri watu wengi...