Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKICHEPUKA MARA MOJA, INAWEZA KUYAGHARIMU MAISHA YAKO YOTE KUREJESHA UPENDO WAKE KWAKO BILA MAFANIKIO...

Tukiendelea na mada yetu kutoka pale tulipoishia wiki iliyopita, suala la kuchepuka ni la kupiga vita. Anayekuja kwako na vishawishi vya hapa na pale ndiye adui yako pale mambo yanapogeuka. Ukichepuka utamuumiza sana mwenzio, kisha nawe utaumia. Hii ni kwa sababu mateso ya mwenzi wako hayawezi kukupa ahueni. Kwa walio kwenye mapenzi ya dhati ni kwamba mwenzi wako anapoteseka, na wewe pia unakuwa kwenye mateso makali. Maana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UKICHEPUKA MARA MOJA, INAWEZA KUYAGHARIMU MAISHA YAKO HAKIKISHAHUBANDUKI NJIA KUU

Jumanne iliyopita (Aprili 22), niliandika ujumbe katika akaunti zangu za mitandao ya kijamii, Facebook (Luqman Maloto), Twitter (@luqmanmaloto) na instagram (@LuqmanMaloto) wenye lengo la kushauri marafiki zangu kuheshimu mapenzi wanayopata kutoka kwa wenzi wao. Niliandika: “Kabla hujamfanyia vitimbi mwenzi wako. Kabla hujachepuka, ukamsaliti na kumsababishia maumivu makali ya moyo pamoja na usumbufu usiomithilika katika...

 

11 years ago

GPL

MUMEO AKIKUSALITI MARA MOJA, UKIMUACHA IMEKULA KWAKO!

WIKI iliyopita nilimalizia makala iliyokuwa inazungumzia mambo ambayo unatakiwa kuyaepuka ndani ya ndoa yako ili kuifanya iwe ya furaha na amani. Wapo ambao waliona ugumu katika kutekeleza baadhi ya mambo. Kwa mfano, kuna ambao walinipigia simu na kuniambia, licha ya kwamba wanajua wake zao hawapendi masuala ya pombe lakini inakuwa vigumu kwao kuacha. Kuna ambao wanajua wake zao hawapendi wao wachelewe kurudi nyumbani lakini wao...

 

10 years ago

Bongo5

Una kipaji cha kuimba? Airtel Trace Music Stars inaweza kubadilisha maisha yako!

Kuna vipaji vingi vya muziki hapa nchini ambavyo kutokana na sababu mbalimbali, vimeshindwa kuonekana. Kikwazo kikubwa ni gharama za kuingia studio na kurekodi wimbo wenye kiwango kizuri cha kuchezwa redioni. Hata kwa wale waliofanikiwa kurekodi nyimbo zao, bado wanakutana na vikwazo vingi pale wanapopeleka nyimbo zao kwenye vituo vya redio. Kutokana na kuwepo wingi wa […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Je sabuni inaweza kurejesha ubikira?

Baadhi ya wanawake na wasichana huko nchini Kenya wanatumia sabuni inayodaiwa kurejesha usichana yaani 'ubikra'.

 

10 years ago

Mwananchi

MBINU ZA MAFANIKIO : Jinsi ya kutawala mafanikio yako - 2

Katika mada hii ya namna ya kudumisha mafanikio yako, wiki iliyopita nilielezea juu ya dondoo za jinsi ya kutawala biashara yako ili isitetereke na kurudi nyuma.

 

11 years ago

GPL

ULITAKA KUTOKA AU MAFANIKIO KIMUZIKI? KWAKO,

Msanii chipukizi wa Bongo Fleva,'Mo Music' akipozi. Mo Music. Bila shaka u mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kila siku vyema. Kama ndivyo, kwangu ni furaha. Miye nipo sawa naendelea na mchakamchaka wa kusaka mkate wa kila siku. Kwa mara ya kwanza ninakuandikia barua, eneo ambalo huwa nalitumia kuwasiliana na wasanii mbalimbali wa Tanzania na watu maarufu kwenye jamii. Lengo ni kuwekana sawa ili sanaa yetu iendelee...

 

5 years ago

BBCSwahili

Lata Kare: Ajuza mwenye umri wa miaka 68 anayekimbia bila viatu kuokoa maisha ya mume wake

Lata Kare ni ajuza mwenye umri wa miaka 68. Kwa kipindi cha miaka mitatu iliopita amekimbia na kushinda mbio za marathon za kilomita 3 katika eneo la Maharashatra, magharibi mwa I

 

11 years ago

GPL

HUWEZI KUTONGOZA? SIMU YAKO INAWEZA KUKUSAIDIA

NAMSHUKURU Mungu kwa kunikutanisha tena nawe msomaji wangu katika busati la mashamsham. Ni siku nyingine nzuri tunapokutana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi na leo, napenda kujadili na wewe msomaji wangu juu ya hili suala nililolitambulisha hapo juu. Maendeleo ya teknolojia yamebadilisha mambo mengi katika maisha yetu ya kila siku. Zamani ilikuwa kama kuna mwanamke au mwanaume unampenda, basi lazima...

 

11 years ago

Mwananchi

Je, unaweza kuyakabili matatizo yasiathiri furaha yako na maisha yako?

Je, ukikutana na mtu njiani, akakuuliza kama una matatizo katika maisha yako, utamjibu vipi?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani