Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUMEO AKIKUSALITI MARA MOJA, UKIMUACHA IMEKULA KWAKO!

WIKI iliyopita nilimalizia makala iliyokuwa inazungumzia mambo ambayo unatakiwa kuyaepuka ndani ya ndoa yako ili kuifanya iwe ya furaha na amani. Wapo ambao waliona ugumu katika kutekeleza baadhi ya mambo. Kwa mfano, kuna ambao walinipigia simu na kuniambia, licha ya kwamba wanajua wake zao hawapendi masuala ya pombe lakini inakuwa vigumu kwao kuacha. Kuna ambao wanajua wake zao hawapendi wao wachelewe kurudi nyumbani lakini wao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ukizubaa, imekula kwako

Yanga Simba, Mtibwa Sugar na Azam zinarejea katika Ligi Kuu Tanzania Bara leo, kesho baada ya kupumzika kwa wiki mbili zikishiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi.

 

11 years ago

GPL

UKICHEPUKA MARA MOJA, INAWEZA KUYAGHARIMU MAISHA YAKO YOTE KUREJESHA UPENDO WAKE KWAKO BILA MAFANIKIO...

Tukiendelea na mada yetu kutoka pale tulipoishia wiki iliyopita, suala la kuchepuka ni la kupiga vita. Anayekuja kwako na vishawishi vya hapa na pale ndiye adui yako pale mambo yanapogeuka. Ukichepuka utamuumiza sana mwenzio, kisha nawe utaumia. Hii ni kwa sababu mateso ya mwenzi wako hayawezi kukupa ahueni. Kwa walio kwenye mapenzi ya dhati ni kwamba mwenzi wako anapoteseka, na wewe pia unakuwa kwenye mateso makali. Maana...

 

10 years ago

GPL

UKIJIFOSI KUMPENDA KISA MALI, PESA ZAKE, IMEKULA KWAKO!

Wakati fulani huwa najiuliza kwa nini tunakuwa na wapenzi, kwa nini mapenzi yakawepo? Kwa nini tunaoa ama kuolewa? Kwa nini baadhi ya watu huamua kujinyonga baada ya kuachwa na wapenzi wao? Kwa nini mapenzi yamekuwa sehemu ya maisha yetu? Kwa nini mapenzi yameharibu baadhi ya maisha ya watu? Huwa najiuliza maswali mengi yenye kwa nini, yakihusisha mapenzi. Kwa ujumla kama nilivyo na maswali mengi, majibu pia yamekuwa mengi. Kwa...

 

9 years ago

GPL

SHOGA; UKISEMWA NA MUMEO USINUNE, ITAKULA KWAKO!

Shoga yangu, leo ni Jumanne nyingine ambapo tunakutana katika safu yetu hii ambayo tunaitumia kukosoana na kuelimishana kuhusu masuala ya ndoa nk. Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu mada iliyosema ‘mumeo umepewa na Mungu jiachie utakavyo,’ leo nataka kukutahadharisha kwamba ukisemwa na mumeo usinune, itakula kwako.
Nasema hivyo kwa sababu kuna baadhi ya wenzetu wana tabia ya kupenda kuwanunia waume zao...

 

9 years ago

GPL

SHOGA; USIMKOMOE MUMEO KWA KERO ZA KAZINI KWAKO!

Shoga yangu, kwa kuwa siku za kupiga kura kumchagua rais, wabunge na madiwani zimekaribia naendelea kutoa rai kwa kila mmoja kuhudhuria kwenye mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea ili Oktoba 25 ikifika muwachague viongozi bora. Leo shoga yangu nataka kuwazungumzia baadhi ya wenzetu wanaofanya mambo ndivyo sivyo kwa waume zao na kusababisha mifarakano ndani ya ndoa.Kawaida katika harakati za kutafuta riziki ambazo...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: SI LAZIMA MUMEO AKUANZE KILA MARA MNAPOKUWA FARAGHA!

KUJULIANA hali ni jambo la muhimu kwa binadamu, niwafahamishe mashoga zangu kuwa hali yangu na familia ni njema hakuna mushikeri wowote juu ya afya zetu, mategemeo yangu kuwa nyie pia ni wazima na mambo yenu yanasonga kama kawaida. Kabla sijaianza mada ya leo inayosomeka “Si lazima mumeo akuanze mnapokuwa faragha” niwape pole ndugu zangu ambao mko kwenye mfungo wa Ramadhani, leo ni siku ya kumi na tatu mkiwa kwenye...

 

9 years ago

Mtanzania

Waliojiandikisha zaidi ya mara moja kikaangoni

BVRNa Aziza Masoud, Dar es Salaam

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema majina ya watu waliojiandikisha zaidi  ya mara moja  katika Daftari la Wapigakura, yamekabidhiwa kwa vyombo vya dola ili taratibu za kisheria zifuatwe ikiwamo kuwapeleka mahakamani.

Akizungumza katika kituo cha uchakatuaji (maandalizi) wa vitambulisho vya wapigakura jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Ramadhani Kailima, alisema sheria inawataka watakaotiwa hatihani kutumikia kifungo au kulipa...

 

10 years ago

BBCSwahili

WHO yataka Sindano itumike mara moja

Shirika la afya duniani limependekeza sindano iwe ikitumika mara moja iliizuie maambukizi ya magonjwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani