Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukizubaa, imekula kwako

Yanga Simba, Mtibwa Sugar na Azam zinarejea katika Ligi Kuu Tanzania Bara leo, kesho baada ya kupumzika kwa wiki mbili zikishiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MUMEO AKIKUSALITI MARA MOJA, UKIMUACHA IMEKULA KWAKO!

WIKI iliyopita nilimalizia makala iliyokuwa inazungumzia mambo ambayo unatakiwa kuyaepuka ndani ya ndoa yako ili kuifanya iwe ya furaha na amani. Wapo ambao waliona ugumu katika kutekeleza baadhi ya mambo. Kwa mfano, kuna ambao walinipigia simu na kuniambia, licha ya kwamba wanajua wake zao hawapendi masuala ya pombe lakini inakuwa vigumu kwao kuacha. Kuna ambao wanajua wake zao hawapendi wao wachelewe kurudi nyumbani lakini wao...

 

10 years ago

GPL

UKIJIFOSI KUMPENDA KISA MALI, PESA ZAKE, IMEKULA KWAKO!

Wakati fulani huwa najiuliza kwa nini tunakuwa na wapenzi, kwa nini mapenzi yakawepo? Kwa nini tunaoa ama kuolewa? Kwa nini baadhi ya watu huamua kujinyonga baada ya kuachwa na wapenzi wao? Kwa nini mapenzi yamekuwa sehemu ya maisha yetu? Kwa nini mapenzi yameharibu baadhi ya maisha ya watu? Huwa najiuliza maswali mengi yenye kwa nini, yakihusisha mapenzi. Kwa ujumla kama nilivyo na maswali mengi, majibu pia yamekuwa mengi. Kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukizubaa tu! Umeliwa

Wakati vinara wa Ligi Kuu, Azam na Yanga wakiwa katika michezo ya kimataifa nje ya nchi, macho na masikio ya mashabiki wa soka  leo yatakuwa jijini Mbeya wakati Mbeya City watakapoikaribisha Simba kwenye Uwanja wa Sokoine.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga ukizubaa unaozea benchi

Ni dhahiri sasa kuna ushindani mkubwa wa nafasi katika kikosi cha Yanga msimu huu baada ya timu hiyo kusajili wachezaji wengi wa sehemu ya kiungo na ushambuliaji.

 

11 years ago

Michuzi

BAJAJ IKIWA IMEKULA NYOMI

Kamera ya Globu ya Jamii,imeinasa Bajaj hii maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam ikiwa imesheheni abiria kupiga uwezo wake,huku suka wa Bajaj hiyo pia akiwa amekaa kiti kimoja na abiria huku akiwa hana noma wala nini.

 

9 years ago

Raia Mwema

Hawa wakishindwa Tanzania imekula kwetu

KUNA wakati unaona timu imepangwa kuingia uwanjani na unajua kabisa hapa ushindi ni lazima.

Lula wa Ndali Mwananzela

 

11 years ago

Habarileo

'Wanaonyemelea jimbo langu imekula kwao'

BAADA ya uteuzi wake, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa amesema wale wanaonyemelea jimbo lake la Mufindi Kaskazini, iwe ni kutoka upinzani au ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekula kwao. Pamoja na kutoa tahadhari kwa wapinzani wake hao, Mgimwa alisema Rais Jakaya Kikwete hakukosea kumteua kushika nafasi hiyo kwa kuwa sifa na uwezo kwa pamoja vyote anavyo.

 

10 years ago

GPL

MSIMU WA SIKUKUU LE MBEBIZ IMEKULA KIPANDE YAKE

Oya masela inakuwa nini kwa kitaa hiyo? Ni mzuka? Kipande hii ni mpango mzima. Mambo vipi hapo kwa wanangu Wanyalu kwa fasi ya Iringa? Basi barida machalii wangu! Hivi washkaji yale mangawira ya eskro ndo imetoka au? Maana naona mafisadi waliotuhumiwa wanadunda tu kitaa wakati maraia wanasafa kinoma. Ni mwendo wa kuungaunga wakati wao wanapeta mwanzo mwisho. Kama vipi tukomae hadi kieleweke! Wasiporudisha hakyanani neksti...

 

10 years ago

Vijimambo

HUU NI UJUMBE WANGU KWAKO

UKITENGENEZA MAISHA YAKO USIMSAHAU Mama, Daima Usimdharau Mama, mpende Mama na umtunze sana Mama. Mvumilie sana kwa mapungufu yoyote yale utakayoyaona kwake, hayupo alie mkamilifu kwa% Kumbuka MIEZI 9 ulikaa ndani ya tumbo la Mama, MIAKA 2 au zaid ulikunywa kilicho kifuani mwa Mama!. Kitanda chako kilikua miguu yake, Bembea yako ilikua mgongo wake, na mikojo kwa kadri ulivyo jisikia. Alikubali kuumia ili wewe upate kukua, kila siku uamkapo na ulalapo muombee mama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani