Yanga ukizubaa unaozea benchi
Ni dhahiri sasa kuna ushindani mkubwa wa nafasi katika kikosi cha Yanga msimu huu baada ya timu hiyo kusajili wachezaji wengi wa sehemu ya kiungo na ushambuliaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Yanga yatimua benchi la ufundi
Klabu bingwa ya soka Tanzania, Yanga imetimua benchi lake lote la ufundi kwa kile kilichoelezwa kuwa kushindwa kuleta matunda yaliyokusudiwa katika klabu hiyo.
10 years ago
Vijimambo.jpg)
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Ukizubaa tu! Umeliwa
Wakati vinara wa Ligi Kuu, Azam na Yanga wakiwa katika michezo ya kimataifa nje ya nchi, macho na masikio ya mashabiki wa soka leo yatakuwa jijini Mbeya wakati Mbeya City watakapoikaribisha Simba kwenye Uwanja wa Sokoine.
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Ukizubaa, imekula kwako
Yanga Simba, Mtibwa Sugar na Azam zinarejea katika Ligi Kuu Tanzania Bara leo, kesho baada ya kupumzika kwa wiki mbili zikishiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi.
10 years ago
BBCSwahili12 Oct
Golikipa wa Newcastle kukaa benchi
Golikipa namba moja wa Klabu ya Newcastle Tim krul atakua nje ya uwanja kwa msimu mzima uliobaki
10 years ago
GPL
Benchi lamuondoa Owino Simba SC
Beki wa kati wa Simba, Mganda, Joseph Owino. Na Wilbert Molandi
BENCHI limetajwa ndiyo chanzo cha beki wa kati wa Simba, Mganda, Joseph Owino kuchukua maamuzi ya kurudi kwao na kuiacha timu hiyo inayoendelea na michuano ya Kombe la Mapinduzi. Beki huyo, hivi karibuni alirejea nyumbani kwao Uganda mara baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar ambayo Simba ilifungwa bao 1-0 huku Owino akianzia benchi....
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Coutinho anusurika kukaa benchi
Philippe Coutinho alikaribia kutolewa nje kabla ya kushinda asema Rodgers.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania