Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA: SI LAZIMA MUMEO AKUANZE KILA MARA MNAPOKUWA FARAGHA!

KUJULIANA hali ni jambo la muhimu kwa binadamu, niwafahamishe mashoga zangu kuwa hali yangu na familia ni njema hakuna mushikeri wowote juu ya afya zetu, mategemeo yangu kuwa nyie pia ni wazima na mambo yenu yanasonga kama kawaida. Kabla sijaianza mada ya leo inayosomeka “Si lazima mumeo akuanze mnapokuwa faragha” niwape pole ndugu zangu ambao mko kwenye mfungo wa Ramadhani, leo ni siku ya kumi na tatu mkiwa kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KILA ANAYEKUTONGOZA LAZIMA UMWAMBIE MUMEO? -2

NAAMINI kila msomaji wangu yupo salama baada ya kumaliza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani lakini pia baada ya sherehe za kumalizia mfungo huo ambapo ni Sikukuu ya Idi.Mada ya wiki iliyopita ndiyo inayoendelea leo. Kila anayekutongoza lazima umwambie mumeo?
Mada ilipokelewa kwa mitazamo tofauti sana, kila msomaji alikuwa na mawazo yake yakikinzana na wengine. Hiyo ni mitazamo tu. Wiki iliyopita niliishia kwa kusema ukiuliza...

 

10 years ago

GPL

KILA ANAYEKUTONGOZA LAZIMA UMWAMBIE MUMEO?

NIJumanne tena miongoni mwa Jumanne nyingi zilizopita. Wiki iliyopita mada yetu ilisema; ukiwa hivi, mapenzi kwako yata ‘rani’ dunia’.Namshukuru sana Mungu kwani mada ile ilipata wasomaji wengi na wengine walisema wamejifunza, wengine watawafundisha wengine. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1O2W8Fq

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MTOTO ASIKUTENGANISHE NA MUMEO!

Shoga zangu, ni matumaini yangu kwamba nyote mtakuwa na afya njema na mapambano ya maisha yanaendelea vizuri licha ya kuwa na changamoto za hapa na pale.Kwa upande wangu ondoeni shaka, afya yangu ni njema na mume na watoto wetu wapo poa kabisa. Leo shoga zangu nimeamua kuzungumza nanyi kuhusu uzembe unaofanywa na baadhi ya wenzetu baada ya kupata watoto na kusahau kabisa majukumu yao kwa waume zao.Nimeamua kuzungumza nanyi ishu...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: KWA NINI MUMEO AKUSALITI?

Kama ilivyoada binadamu kujuliana hali, napenda kuwafahamisha kwamba hali yangu ni nzuri sijui kwa upande wenu.
Shoga zangu, kwa kuwa nchi yetu inajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais utakaofanyika Oktoba mwaka huu, napenda kuwashauri msijiweke mbali na kila kinachojiri kuhusiana na ishu hiyo ili kuelewa mambo mbalimbali ya kisiasa kabla ya kuwachagua viongozi wetu hususan rais. Leo shoga zangu nimekuja na...

 

10 years ago

GPL

SHOGA USIMWAMBIE MUMEO UMECHOKA, UTAACHWA!

Shoga, baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kutotoa nafasi kwa nduguzo kuwa karibu sana na mumeo, leo nitazungumza nanyi kuhusu athari za kumwambia mumeo umechoka.Kuchoka ninakokuzungumzia si kule kwa kufanya kazi za nyumbani kama kupika, kufua, kuuza duka, kuwa bize na watoto nk. Mada yangu ni mahususi kwa wenzetu ambao huwanyima waume zao ‘chakula cha usiku’ kwa madai kwamba wamechoka hivyo hawahitaji...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MLILIE MUMEO ASIWAWAZE WENGINE!

Asalaam alaykhm mashoga zangu! Kwa uwezo wa Mola ni matumaini yangu nyote mu wazima na mnaendelea vyema na majukumu ya kimaisha na malezi ya familia. Kwa upande wangu nipo vizuri kiafya na kazi inakwenda murua, japo changamoto ni sehemu ya maisha yetu.
Shoga zangu, leo nimewaandalia ‘topiki’ yenye kichwa hicho hapo juu. Ni kweli kabisa mwanamke unapaswa kumlilia mumeo ili kumteka asiwawaze wengine. Ukiacha kulia,...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MUMEO ANAKURIDHISHA MCHEPUKO WA NINI?

Asalaam alaykhum shoga yangu! Kwa upande wangu nipo vizuri sana kuanzia kiafya pamoja na kiuchumi.
Shoga, kabla sijaanza kukueleza nilichokuandalia leo, napenda kumpa pole mama wa mabinti wawili wakazi wa mkoani Pwani kwa masaibu yaliyowapata ya kubakwa na baba yao mzazi. Hakika tukio hilo limenihuzunisha sana mbaya zaidi ni pale baadhi ya ndugu wa mumewe wanampomtishia maisha mama huyo kwa kitendo cha kumfikisha mumewe kwenye...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: JIONGEZE ILI KUMPA RAHA MUMEO!

Awali ya yote napenda kukusalimu na kukutakia afya njema maana naelewa mwanamke anapoumwa mambo mengi hudorora yakiwemo malezi ya familia.Baada ya kusema hayo, ngoja nirejee kwenye jambo muhimu nililokuandalia linalohusu mwanamke kujiongeza kwa mumewe na siyo kupita huku na huko kuchonga umbeya. Kujiongeza ninakokuzungumzia ni kuwa mbunifu wakati wa kula chakula cha usiku maana pamoja na kumfulia nguo, kumpikia, kumfanyia mambo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani