Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ommy Dimpoz ana jibu la waliomponda kuwa anarudia suti za kuvaa

Fid Q aliwahi kusema ‘uspastaa ni mzigo wa miiba’ na pengine huu wa Ommy Dimpoz umekuwa mzito kiasi cha kuamua kuzungumza. Apparently wabongo wanahisi suti aliyoivaa kwenye shooting ya wimbo alioshirikishwa na Avril, ‘Hello Baby’, ndio ile ile aliyoivaa kwenye video ya wimbo wa Diamond f/ Iyanya’ Bum Bum. Kuthibitisha kuwa hizo ni suti mbili […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz ana nyimbo za albamu tatu ndani – Meneja

Ommy

Ommy Dimpoz ana nyimbo nyingi ndani zinazoweza kufikisha takriban albamu tatu.

Ommy

Akizungumza na Bongo5 Jumamosi iliyopita kwenye uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya, Achia Body, meneja wake, Mubenga, alisema mpaka sasa tayari wamesharekodi nyimbo nyingi ambazo zinasubiri muda wake tu.

“Sisi hatupaniki, tunaangalia target zetu kwenye muziki,” alisema. “Tunajiuliza sasa hivi inafaa kutoa ngoma? Kwa sababu ngoma tunazo, Ommy ana nyimbo kama albamu tatu, zingine hadi mimi nimeshazizoea naziona....

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz amuongeza Abby kwenye management yake, sasa ana mameneja wawili

Ni jambo la kawaida kwa msanii yeyote duniani kuwa na mameneja wengi ambao wanakuwa na majukumu tofauti, kwa lengo moja la kuhakikisha kazi za msanii husika zinafanikiwa kwa kiasi kikubwa. Abby na Ommy Dimpoz Ommy Dimpoz pia amechukua uamuzi wa kumuongeza mtangazaji wa Choice Fm, Abby Plaatjes kwenye management yake, ambaye sasa ataungana na meneja […]

 

10 years ago

CloudsFM

Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.

Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Mtanzania

Ommy Dimpoz kuwapenda wanaomchukia

dimpozNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema hakuna haja ya kuwajengea chuki watu wanaojifanya kukupenda lakini hawafurahishwi na mafanikio yako.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Dimpoz ambaye alishindwa kufanya shoo nchini Marekani kutokana na visa yake kuwa na mapungufu, alisema imekuwa ni jambo la kawaida wasanii kuchukiwa bila sababu za msingi.
“Unajua mara nyingi unapoamua kuweka chuki sababu ya watu fulani ambao...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mtanzania

Mashabiki wamkera Ommy Dimpoz

ommyNA JUMA HEZRON, TSJ
MSANII wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anachukizwa na tabia ya mashabiki ambao wamekuwa wakifanya fujo kwenye shoo mbalimbali za wasanii.
Akizungumza na MTANZANIA leo, Ommy Dimpoz alisema kitendo hicho siyo cha kiungwana, mashabiki wamekuwa wakikosea na kuwavunjia heshima wasanii.
“Mashabiki wanatuogopesha, imekuwa kama jambo la kawaida kutufanyia vurugu na kusahau kuwa tunafanya shoo ili kuwapa burudani,” alisema Ommy Dimpoz.
Alisema mashabiki na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani