Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ommy Dimpoz: Niko Tayari Kuoa Hata Sasa,Kama Nikipata…

Staa wa Bongo Fleva,Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amesema kuwa yuko tayari kuoa hata sasa hivi kama nikipata mtu sahihi katika maisha yake.

Ommy Dimpoz

Ommy Dimpoz akiwa na Mrembo

Ommy ameyazungumza hayo wakati akiitambulisha video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Achia Bodi’ kwenye kipindi cha Clouds360  cha Clouds Tv wakati alipoulizwa na mtangazaji kipindi hicho Hudson Kamoga kuwa anatarajia kuoa lini.

“Niko tayari kuoa hata sasa hivi kama nikipata mtu sahihi katika maisha yangu” Ommy Dimpoz.

Miezi ya hivi...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Le Projectii:Wema Sasa Ampikia na Kumpakulia Ommy Dimpoz

Wakati mwanamziki wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz akiendelea kupepesa macho na kutikisa masikio kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwingizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ukaribu wao bado unatia mashaka na kuendeleza sintofahamu miongoni mwa mashabiki na wapambe wao.

Japo kuwa Ommy alielezakuwa yeye na Wema ni marafiki toka kitambo kabla hata ya wema kuwa na mahusiano na mwanamziki Diamond, lakini  hii imezidiii.

Mbali na kuonekana wawili hawa kuwa pamoja sehemu mablimbali za starehe...

 

10 years ago

CloudsFM

Chris Brown kama Ommy Dimpoz, azuiwa kuingia nchini Canada

Staa wa muziki nchini Marekani,Chris Brown alizuiwa katika mpaka wa Canada ikiwa ni masaa kadhaa kabla ya kwenda kutumbuiza katika tamasha maalumu la ziara ya muziki ya Chris Brown na Trey wakisindikizwa na Tyga.

Brown alitweet, "The good people of the Canadian government wouldn't allow me entry. I'll be back this summer and will hopefully see all my Canadian fans!". Chris Brown,Trey Songs na rappa Tyga walitakiwa kutumbuiza katika ziara yao ya muziki waliyoipa jina la Between the sheet...

 

11 years ago

GPL

MOURINHO YUPO TAYARI KUIFUNDISHA UNITED HATA LEO KAMA MOYES AKIFUKUZWA

Kocha wa Man United, David Moyes (kushoto) na Jose Mourinho (kulia). LONDON, England
MARA baada ya Kocha Sir Alex Ferguson wa Manchester United kutangaza kuwa atastaafu kufundisha soka, majina mengi ya makocha watakaochukua nafasi yake yalitajwa. Jose Mourinho ambaye kipindi hicho alikuwa akiinoa Real Madrid, alikuwa mmoja wa waliotajwa kwa wingi.
 
Bahati haikuwa yake, Kocha David Moyes aliyekuwa Everton akapata nafasi...

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee awashauri wasanii kuwekeza kwenye muziki kama yeye, Diamond na Ommy Dimpoz

Hii itakuwa ni wiki nzuri sana kwa Vanessa Mdee ambaye weekend iliyopita alifanikiwa kushinda tuzo ya Afrimma huko Dallas, Marekani pamoja na kuachia wimbo mpya ‘Never Ever’ na video yake. Vee Money ambaye amewashinda Victoria Kimani, Juliana Kanyomozi na Khadija Kopa kwenye kipengele cha ‘Best Female East Africa’, ametoa ushauri kwa wasanii wengine wa Tanzania […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Ommy Dimpoz:Diamond si yupo na Zari au? Sidhani kama amemind mimi kufanya kazi na Wema

Mwanamziki Ommy Dimpoz ameyasema hay oleo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM alipokuwa anautambulisha wimbo wake wa Wanjera ambao mrembo Wema Sepetu amecheza kama Wanjera kwenye video wa wimbo huo na kushiriki kupiga picha za kuutangaza wimbo huo.

Ommy alisema haoni kama kuna tatizo lolote kati yake na swahiba wake huyo licha ya Diamond kutoandika chochote kuhusiana na wimbo huo kama ambavyo amekuwa akifanya kwa wasanii wengine.

 “Labda hajaposti yupo busy na simu yake, hata mimi kuna...

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz amuongeza Abby kwenye management yake, sasa ana mameneja wawili

Ni jambo la kawaida kwa msanii yeyote duniani kuwa na mameneja wengi ambao wanakuwa na majukumu tofauti, kwa lengo moja la kuhakikisha kazi za msanii husika zinafanikiwa kwa kiasi kikubwa. Abby na Ommy Dimpoz Ommy Dimpoz pia amechukua uamuzi wa kumuongeza mtangazaji wa Choice Fm, Abby Plaatjes kwenye management yake, ambaye sasa ataungana na meneja […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani